D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Siku hz kwani namba bado zipoWalikuja staff nzima kila mwalimu alikuwa atuchapa tukichelewa kuhesabu nmb asubuhi
Ni mageti tu mwisho saa mbili kufika shule ila enzi zetu ni saa kumi na moja na nusu uwe shuleSiku hz kwani namba bado zipo
nilipigwa 10 na maza mzazi kabisa mwalimu na alipomaliza nikamwambia ongeza mi sijaridhika akatupa fimbo kaondoka.Watoto wa siku hizi wanadeka sana.
Enzi hizo unaweza ukala fimbo za kutosha shuleni na wala hakuna noma. Mimi shule fimbo ilikuwa ni torati.
Hebu toa ushuhuda ni kiasi gani cha fimbo uliwahi kula kww mkupuo wakati unasoma sekondari?
Unakumbuka Ike mbunu ya kumchukulia rafiki nambaNi mageti tu mwisho saa mbili kufika shule ila enzi zetu ni saa kumi na moja na nusu uwe shule
Fimbo haijawahi kuwa means nzuri yakufundishia wala kuadhibuKuchapwa fimbo shuleni ni Moja ya dalili za umaskini, siamini shule kama braeburn, feza, st Constantine, ist, ism na shule zinazofanana na hizo watoto wanachapwa. Hizo shule watoto hwwachapwi na bado watoto wengi kwenye hizo shule wanafaulu.
Shule za umaskinini mtoto anachapwa fimbo nyingi na bado anakua kilaza, Yani umaskini mbaya sana kiuhalisia ni kama mtoto anaadhibiwa shuleni sababu ya umaskini wa mzazi, na si kwasababu ya kosa lake