Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninaishi na mwanamke ambae tumepanga kuoana na kufunga ndoa. Nilipokutana na mwezangu nilikuwa nafanya kazi serikalini kwa mkataba. Kipindi chote hicho tuliishi vizuri tu japo palikuwa na changamoto mija ikiwa mimi tayali nina watoto wawili amboa mwanzoni mwa mahusiano yetu sikumwambia but badae akaja kujua japo alichukia lakin mambo yakawa sawa.
Mnamo mwaka jana mkataba wangu wa kazi ukafika meisho na kuto kuendelea apo ndipo changamoto za mahusiano zikaanza kwa kulaumiwa kuwa nafanya mawasiliano na mzazi mwezangu nilie zaanae mala nina wanawake wengi. Nakumbuka baada ya miezi kama miwili hivi toka mimi kutokuwa na kazi lasmi mapombo ya ndani kwa mwezangu yakawa tofauti nikiomba unyumba mala naumwa na tumbo mala nimechoka mala sijisikii iyo ikanipelekea kukaa zaidi ya miezi miwili no kukutana kimwili. Kwakuwa ninahamu ya kuduu nilimuita msichana mmoja aje home alipo kuja nikamshawishi akaingia kenge sasa nipo nae ktk ulingo gafla mwezangu anaingia ndani na kumkuta mwanamke. Alilalamika sana nimeshindwa kumvumilia kutokana na alivyo kuwa ananiambia kuwa anaumwa ama amechoka na kazi. Nilijishusha nikamuomba msamaha taishe nimekosea tuyamalize tu. Alichokifanya ni kuwapigia simu mawifi zake na kuwaeleza kilichotokea huku huku akijisahau kwamba yeye ndio chanzo cha yote. Sasa toka kanifumania hata atakiki kunipa mzigo nikimgusa utasikia ebu niache bwana week up to week nilicho amua mimi kuto mgusa wala kumsumbua hadi atakapo jisikia mwenyewe yapata mwezi na nusu sasa na nimepanga ikifika miezi mitatu nitaachana nae kwakuwa mimi ni mwanaume nilie kamilika sitoweza kuvumilia zaidi kuona mzigo kwa macho tu. Mana unalala nae kitanda kimoja na anaoga unamuona so nisije nikaja kumbaka japo ni mwezangu ninae ishinae. So naomba ushauri wenu wandugu coz nifanyeje ili niweze jikomoa na hili.