Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

Dalili nyingine kuwa hujiamini kama Mwanaume ndio iyo kumpiga mkeo.
 
Rudi ulikotoka watu waendelee na maisha yao ya raha, unaonekana una gubu sana wewe. Ondoka bila kubembeleza wahuni wakusaidie kubembeleza
 
Bonge la kosa

Mwanamke hapigwi

Hasira zikiwaka ondoka au safari

Baada ya muda unarudi
Na ukisharudi anaendelea na upumbavu wake unaondoka tena???? Acheni kudanganya watu nyie,mi siondoki,anaondoka yeye bila kurudi tena kwangu mpaka anyooke awe kama nguzo ya umeme,mwanaume umpishe mwanamke huo ni upumbavu na udhaifu mkubwa
 
Muache aende atarudi tu kama bado anakupenda, asiporud ujue tyr ushamegewa
 
Kabla ya kumkata makofi huenda talaka ikawa imeanza, sitamani tufikie hatua ya kutwangana. Yes kuna maudhi fulan huwa yanatokea, una gadhibika, dawa mie huwa ni kuondoka tu eneo hilo.
Niliwahi mpiga girlfriend sababu ilikuwa kanikera nataka nitoke na akanizuia, hakuna kutoka😂
Uzuri mke wangu akijua kanikera anaacha natoka, samahani yake nikirudi, kwa utuliiivu kabisa.

Hata mimi nilijiwekea nadhiri hiyo,lkn kuna mambo yanatokea unaudhika ghafla unajikuta umetoa kichapo
 
Nini kimesababisha umpige?? Unaomba ushauri wakati unaficha sababu za zilizokufanya umpige, hebu funguka ili upewe ushauri vizuri
 
Yataisha tu Muraa, mwache aende
 
Ajieleze kwa nani?
 
Geuza tatizo liwe lake, endelea mtuma HG tu mwenyewe atarudi kwenye reli. Labda kama ulimuonea lakini kama katamka maneno ya kuudhi na yasiyo vumilika uko sahihi kumkumbusha nani ni father of the house.
 
MSITIANE UJINGA HAPA
Mume kumpiga mke wake ni ujinga, ni ushamba na ni udhaifu mkubwa, na wala si ujanja, tena mume anayempiga mke wake halafu anakuja hapa JF kujifisia huo ni ushamba zaidi na anahitaji maombi na msaada wa kisaokolojia. Ukimpiga mkeo, tambua kwamba wewe mwanaume una matatizo na utapaswa kujutia ulichokifanya. Utajitaji msaada, unahitaji kuonewa huruma.
Ukisikiliza sababu nyingi zinazotolewa hapa na wanaume ni kwamba eti mke 'amekosea kitu fulani', au 'mke amemkasirisha mume', eti 'usikubali kwa kuwa wewe ni mume!! Kwahiyo wewe mume humkosei mkeo!!?? Mara ngapi unafanya makosa!!?? Kwa hiyo nawe upigwe!!?? Utakubali kupigwa kila ukikosea? Na umeshakosea mara ngapi?

Tena kimaumbile mwanaume ana ' mwili wenye nguvu zaidi' kulinganisha na mwanamke, hata wakati mwingine, utakuta mwanaume kijana ana mwili na nguvu kumshinda hata mama yake mzazi aliyemzaa mwenyewe, hata baadhi ya wanaume huwaita wanawake kama 'viumbe dhaifu', wakimaanisha kwamba wao wanaume ni 'viumbe imara na wenye nguvu'. Viumbe dhaifu ni kama bibi kizee, mtoto mchanga ambao hawawezi hata kujitetea. Sasa cha kushangaza ni kwamba kama wewe mume/mwanaume una maguvu yote hayo kwanini unatumia maguvu yako kukipiga 'kiumbe hiki dhaifu' - mke/mwanamke? Unadhani nani ni dhaifu hapo!!!??? Mtu mwenye akili timamu hawezi kukipiga 'kiumbe dhaifu' hata siku moja, labda kama ana tatizo la akili.

Kati ya mpigaji na mpigwaji unadhani nani ni dhaifu hapo??!! TAFAKARI
 
Nyonga kabisa hio mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…