Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Na sisi ambao tunapost STATUS mara moja kwa mwezi

Halafu hatu view baadhi ya STATUS unatutafsiri vipi ?
 
Kuna jamaa aliwahi kupost tovuti ya xxx video . Yule jamaa ukimwona hata huwezi amini aseh iyo siku nilistaajabu Sana Yani kumbe mpaka huyu naye anaangaliaga pilau
Hiyo XXX si ndio kirumi, kibongo 30, kuna ubaya gani kuwaona warumi wenyewe.
 
Niliwahi chukua namba ya dada mzuriiii, nilikuwa naogopa hata kumsaundisha siku nimesave namba yake kucheki status kaweka buyu lake linavujia asali. Ikabidi nimtext labda niliikosea namba wakati naandika nkakuta ni yeye. Alinikata maini sana.
 
Niliwahi chukua namba ya dada mzuriiii, nilikuwa naogopa hata kumsaundisha siku nimesave namba yake kucheki status kaweka buyu lake linavujia asali. Ikabidi nimtext labda niliikosea namba wakati naandika nkakuta ni yeye. Alinikata maini sana.
Ulimla sasa?

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina sista mmoja namuheshimu sana. Basi kuna siku usiku mi nina stress sina usingizi nikaona status, kuview, amejipost picha kwa nyuma mzigo hafu ame caption "Watu na Matak* yetu".

Nilijua amekosea nikamtext nikasema Haujakosea kweli?

Kumbe bwana seems alikua anamtumia jamaa yake yakatokea hayo. Mbona alinipigia akasema views zipo tatu mimi na wawili mashosti zake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah matapeli wa Q net [emoji12][emoji12] walimlamba jamaa yangu milioni tano zake wakidhani itakuwa rahisi kama walivyozoea. Jamaa akawa habanduki ofisini kwao daily, baadae wakaamua kuwa wanamtuma huku na kule huku miezi inakatika jamaa haoni faida yoyote. Kuna siku wakajichanganya wakamtuma kazi zao na gari yao, kosaa!! Jamaa katokomea nayo akawaambia bila kurudisha my five milioni gari hamuipati, daaah fasta wakamrudishia mkwanja wake...
 
Eti kimoyomoyo nikasema hiiii

Umefanya nicheke sana mkuu
 
Enhee mkuu ikawaje sasa?

Usinambie ndo ikaisha hivyo tu bila kumchapa bakora za kimkakati. [emoji23]
 
Kuna mke ya alikuwa a nafanya kazi village supermarket nikachukua namba yake maana alikuwa manager sasa usiku Kucheck kwenye status yake kapost dushelele yake

Sasa bwana si nikamwambia kuna kitu umepost toa ndio ulikuwa mwisho wa mawasiliano yetu mpaka leo
 
Yule dada alikua ananyoa anatumika camera ya mbele kama kioo,sijui ilikuaje ila mzigo uliruka hewani,ndani ya sekunde 20 nika nime view then nika download(gb whsap) afu nikamtumia chap....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…