Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwenye status mara nyingi huwa hazizidi tano.Ukitaka kujua akili za mtu uliye na namba yake zipoje, ukiangalia Status yake tu utapata majibu
Na sisi ambao tunapost STATUS mara moja kwa mwezii use whatsapp status to read people's mind.
ni rahisi sana kutambua saikolojia ya mtu through whatsapp status.
Ukiona status ya mtu anaweka mahubiri ya kidini au vipande vya video vya worship songs, tambua yupo kwenye wakati mgumu sana, anatafuta faraja.
Ukiona status ya demu anaweka sana mipasho inayohusu mahusiano, tambua kwamba yupo kwenye mgogoro wa kimapenzi na bwanake.
Halafu tupo akina sisi ambao sio rahisi kutusoma, daily tunapost status za vibonzo na michezo hususani mpira wa miguu.
Hiyo XXX si ndio kirumi, kibongo 30, kuna ubaya gani kuwaona warumi wenyewe.Kuna jamaa aliwahi kupost tovuti ya xxx video . Yule jamaa ukimwona hata huwezi amini aseh iyo siku nilistaajabu Sana Yani kumbe mpaka huyu naye anaangaliaga pilau
Ulimla sasa?Niliwahi chukua namba ya dada mzuriiii, nilikuwa naogopa hata kumsaundisha siku nimesave namba yake kucheki status kaweka buyu lake linavujia asali. Ikabidi nimtext labda niliikosea namba wakati naandika nkakuta ni yeye. Alinikata maini sana.
Silagi watu mkuu
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi kile cha Amber rutty na video zake za kuliwa 0713 zilikua zikisambaa watsapp sana kama kawa nikadownload nikaangalia nikadahau kuzifuta [emoji28][emoji28][emoji28]maza akaomba simu sjui afanyie nn ghafla akagusa gusa akaipost me sina A wala B alooh kuja kurudishiwa sm nakutana na msg kibao aah nliskia Aibu sana
Kitu cha kijinga zaidi ni pale unapochati na mtu inbox halafu baadae unatuwekea sisi status[emoji23] eti ooh fulani umejua kunifurahisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki[emoji23]
Lakini ni kweliMtu kama wewe sijui ni mtoto au ni mjinga fulani tu hivi
Eti kimoyomoyo nikasema hiiiiStatus kuna unafki mwingi sana.
Kuna jamaa alipost jinsi ngamia anavyotaabika baada ya kuchinjwa huku akiweka caption ya kuwa binadamu sisi ni wakatili sana na akaongeza kwa kuweka nadhiri kuwa hatokuja kula nyama tena maisha yake yote.
Kuna siku nikaenda kumtembelea nikakuta kapika ugali nyama, nikamuliza mzee vipi mbona nyama tena na ulisema hutokula tena akajibu "naachaje kula nyama aisee".
Kimoyomoyo nikasema hiii...
Enhee mkuu ikawaje sasa?Nina sista mmoja namuheshimu sana. Basi kuna siku usiku mi nina stress sina usingizi nikaona status, kuview, amejipost picha kwa nyuma mzigo hafu ame caption "Watu na Matak* yetu".
Nilijua amekosea nikamtext nikasema Haujakosea kweli?
Kumbe bwana seems alikua anamtumia jamaa yake yakatokea hayo. Mbona alinipigia akasema views zipo tatu mimi na wawili mashosti zake.