Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Kuna mpangaji wetu alikuwaga na tabia hiyo sifa,pesa ya umeme ni 5000 lkn analitoa bunda la pesa anachomoa 5000 tu_tena anakuitia mlangoni kwake, au analiweka mezani uzione[emoji23][emoji23]
Mbona story unakata kata,endelea mpaka mwisho kabisa. Siku alipokuchomolea bunda moja nini kilitokea
 
Kweli kabisa, Kama kuna watu wanamdharau Mo kwamba 20b ni ndogo kwa kuwekeza simba wakati hawana uwezo wa kununua hata kadi ya uanachama.[emoji24]
 
Why can't you stop smoking cannabis?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KUchomoa kila siku kwenye account?
Mjomba ulizisoma vizuri comments zao ukazielewa lakini

Walikuwa wanaelezea jinsi gani kuna card za bank fulani ukiwa nazo unaweza kuchomoa hiko kiasi kwa siku sijaona popote mtu aliposema kila siku

Sasa mfano mtu anayetakiwa kununua vitu vyenye thamani hio kwa cash unafikiri anafanyaje

By the way hata kama ingekuwa mtu anachomoa hio kila siku bado sishangai maana kuna watu kwao hiyo ni pesa ya mboga tu

Tutafute pesa tu mkuu ndugu yangu maisha hayafanani tusidhani kila mtu ni masikini kama sisi
 
Anna tibaijuka alikua anaitumia milliom 20 ya mboga kwa siku mbili..upo sahihi
 
Kweli kabisa, Kama kuna watu wanamdharau Mo kwamba 20b ni ndogo kwa kuwekeza simba wakati hawana uwezo wa kununua hata kadi ya uanachama.[emoji24]
Kigwangala muhuni, kuna siku nilikutana live nikamwambia Mh. kuna shares 51% wewe umenunua ngapi?
 

Nimesemea mtu anaetoa kibunda cha pesa kwa show off

Unahitaji 10,000 umeshuka kwenye gari
Unatoa bundle la 1m Ili nini?
 
i.e hakuna mtu anayepata 500k kwa jasho na damu kwa kupambana mwezi mzima akaunguza yote kwa siku moja au mbili...right??
Yeah...hata kama ataiunguza kwa siku moja au mbili lakini atafanyia kitu cha maana kama kununua furniture..Laptop au kulipa kodi nk.

Lakini pia wapo watu wa aina hiyo anapambana muda mrefu kupata pesa halafu anaichoma kwa muda mfupi sana kwenye starehe na kuishia kuwa na Majuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…