Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Kwani kila mtu akiagiza chakula na kinywaji elfu 80 Mara tatu hiyo nayo hela??
Ni kawaida. Tatizo ni kujua walikuwa chimbo gani. Tandahimba ukitoa 150K utaletewa ng'ombe mzima na kreti 2 moja ya bia.

Sasa mtamaliza wa kwa masaa mawili?
 
I have made a covenant with myself, never to spend money on impulse, just to prove a point to any human being. It's just absurd, crude, diabolical and bad economics....

What's there to prove, wakati najua mfuko u hali gani!!! Binafsi nafahamu even if you have all the money in the world, there will be some fools lurking somewhere ready to smack faeces on your good image.

Heri unione bahili, mchoyo au sina pesa, lakini binafsi nafurahia maisha yangu kinoma. Kuna umri ukifika baadhi ya mambo hayakuumizi sana kichwa....
NO TRUER WORDS HAVE EVER BEEN SPOKEN.
 
Ni kawaida. Tatizo ni kujua walikuwa chimbo gani. Tandahimba ukitoa 150K utaletewa ng'ombe mzima na kreti 2 moja ya bia.

Sasa mtamaliza wa kwa masaa mawili?
Kweli brother,ilikua mahala Fulani watoto wa mjini huwa wanaangalia mpira, Mimi sina hadhi ya kula Bata eneo lile,huwa naenda kuangalia mpira tu na kuagiza soda...elfu 4
 
Daah muda unakimbia sana, niliandika nikiwa kwenye mabenchi ya Bugando
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaahhh, nimecheka hatari, nimeisoma huku nikivuta taswira jinsi walivyokuchukulia halafu ukawageuzia kibao
Dakika za jiiioooooni. Moderator weka hii insta
 
Dah mi nakumbuka kuna mwanangu alinialika kigamboni tupate bia mbili tatu nikatimba asee apo ni camp joint,nikakuta kimewaka yuko na jamaa zake kama nane wanamalizia malizia bia zao namimi nkapiga kama mbili hivi nilizozikuta tukahamia the Giant asee ile siku nikijikuta natumia laki tatu ila kuendana nao make jamaa yangu alikua ananitambulisha kama mtu mkubwa fulani hivi bas namimi sikuwaangusha ila nilipata homa kwa hasara ile.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli uliushtua umasikini...
 
Yule demu aliponipa mzigo tako tatu wadhungu hao. Nikasingizia sijala ngoja nile nimpe show za WWE John cena you can't see mee. Nikala chips ndizi mishikaki. Nikampq romance kupima oil naona huyu kashaiva nikachomeka kupiga take tatu wajapan hao. Nikaona sasa hapa mbona kazi sana. Nikaona ngoja nizuge zuge kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV. .

Alipoamka nikaona nitumie nafasi hii kumuonyesha show ya kibabe. Kupiga tako nyingine tani aisee wazee hawajakosea siku ya kufa nyani kweli miti yote huteleza. Kupiga tako nikajikaza yani kufika tako ya tano tu tena nimejikaza nikawa na uma na meno wahindi haoo. Aisee what an embarrassing day.

Kurudi kwenye mada, ili kurudisha heshima nikamuliza demu hivi unaishi wapi? Akajibu Magomeni nimepanga chumba elfu 70. Nikaanza kujiongelesha hapa inabidi upange Sinza chumba laki na hamsini. Nataka nikulipie kodi ya miezi kumi. Kwanza kabla sijasahau shika hii laki. Ukifika nyumbani nakutumia hela nyingine ununue vitu vya nyumbani hiyo laki ni nauli tu. Hata samsung unayotumia sio simu ya maana nakununulia iphone.

Alipoondoka na laki yangu nikatupa line nikasajili line nyingine kwa mpita njia. Huyu dada tulikutana kwenye mwendokasi. Hata mwendokasi sipandi tena nna wasiwasi naweza kukutana nae huko [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I never do anything to prove a point. I live my fu***n life.
 
Back
Top Bottom