Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Kuvimba au kutovimba hakukuongezei wala kupunguza kitu maishani ungelala zako lodge ya 20 mpka 30 boda ungempa 5k yake maisha bado yangeenda vile vile.

Kutaka kuonekana matawi ya juu wakati watu hawakuoni hivyo hilo ni tatizo
 
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23] wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa mseee kweli [emoji23]
 
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23] wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
 
Nlinunua mkungu wa ndizi kwenye harambee baada ya kuona madem pale chapo nmenyoosha mkono wananiangalia kwa macho ya wewe shusha huo mkono uwezi panda hapo nikapandishana na wazee wale wa benki nikaishia laki mbili nilijua wangepanda zaidi ili niachie pale
Watu si wakauchuna laki mbili yangu ikanitoka nililia hadi kamasi
Nkaenda kuuza kwa mama ntilie kwa arubaini alfu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna restaurant moja katikati ya mji Dar huwa mara kadhaa napenda kunywa chai jioni,sasa baadhi ya wahudumu wakawa wamenizoea na kunichukulia poa, yaani nakaa muda kusubiri mtu wa kunihudumia.

Sasa kukawa na meneja mpya anayewasimamia hao wahudumu akawa anamuelekeza muhudumu aje anisikilize.Kwa mbali nilinote yule muhudumu alichomwambia yule meneja wake kwamba yule ataagiza chai ya rangi tu (siko vibaya ktk kuisoma non verbals),hivyo alivyokuja nikambadililkia nikamwambia nahitaji wali samaki ambao bei yake ni 10,000. Muhudumu akaanza kujichekesha Kwa aibu akiuliza"kwani Leo hunywi chai" ,nikamwambia sihitaji chai.

Kifupi aliabika mbele ya yule aliyemuaminisha kuwa nitaagiza chai tu ,pia nilipoondoka niliacha tip nzuri tu ili kumfunza awe na heshima.
Hii sasa ndio chai yenyewe.
 
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo😂😂 wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
 
Baada ya kumaliza chuo miaka hiyo nilienda mkoa x sasa ikatokea tu nimekuwa urafiki na mrembo fulani na amekuja kuwa mtu maarufu kwa sasa hapa tz.
Sasa kipindi hicho ilikuwa lazima kile wikiendi tutoke out na ilikuwa ni zamu wiki hii yangu wiki inafuata yeye, alikuwa na vi-bussiness vyake kwa hivyo ela ya kula sio ishu plus wanaume walikuwa wahonga na wanajigonga hovyo hovyo na alikuwa akiniambia kabisa jinsi watu wanafunguka na mimi pia nilikuwa najishtukia naona kabisa huyu hii sio level tangu..
kipindi hicho nilikuwa namiliki mashamba ya umwagiliaji hivyo j3 mpaka ijumaa kisha narudi mjini weekend .sasa nikija mjini nakuja na kiasi kamili 50000 tu kuspend ili nibalance hesabu sasa uchumi ukajumba mvua hainyeshi hela ya kuspendi naitumia kwenye vibarua..
aisee nilimis zile out mpaka nikajiona mnyonge nikampigia ndugu yangu mmoja anikopeshe laki tano kwamba nimepata matatizo nikatumiwa chapu sababu tu dogo analalamika zamu zangu nazingua...
Nilitumia tu kama 150K kwenye hizo out kisha from no where nika-change laini na nikapotea mazima mjini nikawa siendi tena niliona huyu dogo sio level yangu acha atafute mwanaume mwenye maisha mimi bado nilikuwa napambana tulikuja kukutana arusha ila bado nilimkazia mno mpaka nikaona hatia ila basi niliona ibaki hivyo!
Pole
 
Back
Top Bottom