Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Kwa hiyo unataka ukienda kwa watu au hata ukiwa kwenu uamue saa 4. Unywe chai then uingie ndani kuchat, saa 7 uletewe chakula na house girl then uendelee kuchat saa 9 uende angalia marudio ya tamthilia hadi saa 2 upo kwenye TV then ule cha usiku uingie chumbani kuchati hadi saa 6 usiku.

Hivi nyie vijana mnajitambua? Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu ndio yupo kama wewe. Yeye ni kuinua miguu juu ya sofa kuchat tu. Hajui hata kufua chupi zake, eti ndio maisha yenu na hata wewe kama ni ME au KE ila tabia zenu ni zile zile.

Kizazi kibaya na cha hovyo hiki cha 1990's to 2000's. Hakuna kijuacho wala kiwazacho humu duniani zaidi ya ngono na betting. Pumbavuu
Hebu taratibu kwanza mkuu. Umejuaje mtoto wa dada yako hajui kufua chupi zake?

Tujadili hili kwanza, hayo mengine yatafuatia!
 
Sisi undugu yaani ushangazi na ubaba uliisha baada ya Baba yetu kufariki. Toka 2018 hakuna hata mmoja amewahi nipigia simu wala nijulia hali kama mtoto wa kaka yao.

Katika kitu ambacho namshukuru Mungu kwa ajili ya Baba yetu ni kufariki sisi tukiwa watu wazima wenye watoto na tunaojitambua. Katika maombi yangu ya kila siku mbele za Mungu ni anipe uhai na afya njema ili nione wanangu wakijua na kujitambua then anichukue nikapumzike. Duniani kuna shida na changamoto nyingi sana. Eehhh Mungu tusaidie.
Wewe huwa unawapigia simu kuwajulia hali? Au wao pekee ndio wanatakiwa kukupigia kukujulia hali?
 
Sisi undugu yaani ushangazi na ubaba uliisha baada ya Baba yetu kufariki. Toka 2018 hakuna hata mmoja amewahi nipigia simu wala nijulia hali kama mtoto wa kaka yao.

Katika kitu ambacho namshukuru Mungu kwa ajili ya Baba yetu ni kufariki sisi tukiwa watu wazima wenye watoto na tunaojitambua. Katika maombi yangu ya kila siku mbele za Mungu ni anipe uhai na afya njema ili nione wanangu wakijua na kujitambua then anichukue nikapumzike. Duniani kuna shida na changamoto nyingi sana. Eehhh Mungu tusaidie.

Dah umenikimbusha mbali nikiwa mtoto mdogo sana lakini nakumbuka wakati mama anaumwa siku hiyo katembelewa na ndugu yake kaja kumjulia hali

Mama alilia kwa uchungu ninakufa naacha watoto wangu wadogo watateseka aiseee

Mama alifariki after three years mdogo wangu akaniacha after 4 years baba naye akaenda weeee nilionja magumu ya kuishi na ndugu natamani wazazi wangekuwepo hata kama tungekuwa maskini ila sio kuwa yatima

Mama pumzika sasa uwe na amani nimekua ….. niko kwangu sina mateso tena [emoji120][emoji120][emoji120][emoji24]
 
Katika kitu chenye ukatili kwa wanadamu na viumbe vingine humu duniani ni mauti. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tumezaliwa duniani bila kupenda wala kuulizwa kama tulitaka kuja duniani. Kifo huku una watoto wadogo ni maumivu makali sana kama leo ungekutana na mtu aliyekufa huku anajua watoto wake ni wadogo ungemuuliza alijisikiaje wakati anakufa, dahh very painfull. Mauti nzuri ukiwa huna familia au watoto wakiwa watu wazima.
 
kila Comment ni wanawake tuu hivi viumbe acha TU.mimi nilipomaliza form four nikasema embu niende kwa mjomba nikapumzike wewe nilioyaona kwa mke wake nilikaa siku tatu TU nikarudi kijiji nikajisemea Mimi huu umasikini wangu niache kufata maisha ya watu.
 
Nimeishi na shangazi yangu tangu nikiwa mtoto mdogo sana na nilikuwa nafikiria kuwa yeye ni mama yangu! Sikupata taabu yoyote katika kuishi kwangu kwake, alikuwa mwema sana na alinipenda sawa na watoto wake.

Kwake tulijifunza kazi zote , tulikuwa tunafanya kwa zamu na Kila mmoja alikuwa na siku yake maalumu ya kupika, kuosha vyombo, kufagia uwanja, kudeki na kupasha maji kwaajili yake .

Kwa muda huo tulikuwa tunaona kama ni mateso na unyanyasaji uliopitiliza.

Nilitambua baadae sana kwamba ilikuwa ni sehemu ya maandalizi ya maisha ambayo leo naishi.

Watu wengi wanashindwa kuishi kwa ndugu kwasababu wanashindwa kutofautisha mazingira.

Ukienda mahali lazima ujifunze taratibu na miongozo ya nyumba usika, sio kuleta habari / tamaduni za kwenu kwenye ngome ya mtu.
 
Dah umenikimbusha mbali nikiwa mtoto mdogo sana lakini nakumbuka wakati mama anaumwa siku hiyo katembelewa na ndugu yake kaja kumjulia hali

Mama alilia kwa uchungu ninakufa naacha watoto wangu wadogo watateseka aiseee

Mama alifariki after three years mdogo wangu akaniacha after 4 years baba naye akaenda weeee nilionja magumu ya kuishi na ndugu natamani wazazi wangekuwepo hata kama tungekuwa maskini ila sio kuwa yatima

Mama pumzika sasa uwe na amani nimekua ….. niko kwangu sina mateso tena [emoji120][emoji120][emoji120][emoji24]
Aisee umeniliza kwa maana tunafanana historia sana .

Mungu akutie nguvu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama umenielewa, huyu wifi yangu katoka kwa mume wake kaja hapa kwa kaka yake kuishi.ishu inayokuja kwa mfano hapa kwangu nina ratiba ya chakula asubuhi mchana na jioni,asa utakuta ratiba yangu jioni ni kupika hiki yeye atapika kile,hafu maagizo yote hela huwa namuachia binti wa kazi lakini ukirudi ulicho tegemea kukuta sicho kuuliza ooh aunt kasema tupike hiki. Kwahiyo ni kama anataka niishi apendavyo yeye.na sio kama hivyo vingine yeye hatumii hapana anatumia ila fujo tu.

Hapo bado atapika sufuria kubwa la chakula kesho unakikuta kwenye dustbin.haya asubuhi ataamka atapika chai ya rangi hapa kwangu kuna bili ya maziwa bado atapika na uji[emoji849] sio kama anamtoto wala hanyonyeshi siku mbili kilo ya sukari kwisha. hapo sijazungumzia mafuta,huwa nanunua viazi kwaajili ya chai lakini yeye kila siku asubuhi atapika chips anywe na chai,asa nakuta mafuta hayakai vile nlivyokusudia kumuuliza dada mnatumiaje mafuta aunt anapika chips kila mara asubuhi.na sio mjamzito .sawa kwake alikuwa yeye pekeyake na mume wake huenda alikuwa anaishi hivyo lakini mimi ninafamilia na sio kama tumetusua maisha jamani mimi na mume wangu wote ni wahanga wa ajira tuko mtaani tunaunga unga tu na tumepanga bado kwanini haelewi? Kila pesa tunayoipata tunaipangilia sana

Kuishi ma wifi alietoka kwenye ndoa iliyoshindwa ni kama unaishi na mke mwenzio tuu kashazoea maisha ya kwake ko anataka sheria zake alete hapo au anakukomesha tu kwa kusema kuwa yupo kwa kaka ake[emoji16][emoji16] au anakuonea wivu kwa maisha unyoishi na kaka ake

Ushauri wangu mwache afanye anachotaka usishindane nae hata ukifanya ivo mnakua wote wajinga hata akifanya nn wewe kaa kimya mwisho wa siku yatamshinda tuuu after all hupotezi kitu cha zaid sana unajitesa tuu bure
 
Ila wasisemwe wenye mji tu, vipi wageni wenyewe wanao kuja hapo? Unamhudumia mtoto wa mtu siku akitoka hapo utasemwa mpaka unajiuliza hivi yale niliokuwa nafanya kumbe yote mabaya,

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Fungua Uzi wako acha kupandia topics za wenzio, hiyo haihusiani. Ndo nyienyie tu mnaotesa watu
 
Kitambo niliwai pata safari ya mbali ilibid nifike kwa ndugu yetu niweke kituo siku kadhaa, ilikuwa sio poa huyo mama mwenye nyumba alikuwa na uvaaji wa kizungu kuanzia morning to everning kila muda ni kama yupo ufukweni hafungi mapaja akilala anajiachia unaona mashavu kiaina
Ultoka salama?
 
Duh ila ndugu wa mume jamani kuishi nao yataka moyo.nimekuja kugundua kwanini watu wengi wanaishi na ndugu zao kuliko ndugu wa mume.nikiishi na mdogo wangu namtuma nitakavyo hata nguo zangu nampa anifulie hutomsikia kunung'unika, ndugu wa mume mtume hata mara moja ukoo wao mzima watajua . Nako hapa naishi na wifi yangu kaachika kwa mume wake yaani ni kero jamani nyumba imekuwa kama na wanawake wawili mimi napanga kipikwe hiki yeye anapika kile mavyakula anapika mengi anaishia kumwaga yaani ilimradi fujo.hapa napanga na mimi niondoke niende kuishi kwa kakaangu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Aisee kumbe mie na mke wangu tuna roho poa sana, kwangu akifika ndugu y3yote awe wangu wa mke, kula kujigaragaza pesa tu ndio sina za kutapanya ila kula aaah utasaza mwenyewe
Ndugu yangu kumpendeza mwanadamu ni kitu kigumu sana. Unaweza kushangaa hao ndugu zako wamekomenti kwenye huu uzi eti uliwatesa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom