Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
 
"Confessions of a part time call girl"

Hiki kitabu nilipewe na demu Fulani alikuwa anasoma Uganda nikiwa sekondari,kinahusu dada mmmoja aliyekuwa anafanya kazi ya kuajiriwa ofisini lakini pia partime anafanya kama Malaya anayejiuza kwa kupigiwa simu na kwenda kutoa huduma.
Ni hadithi ambayo ni kama porn imewekwa kwenye maandishi,maana hadi style zimeelezwa in details.

Tahadhari:Sio kitabu cha kusomea sebuleni au sehemu ya Public kama huwezi kudhibiti hisia.
 
Malizia page inayofuata maana hii hadithi nimeielewe
 
Katika kusoma novels kwangu kote...'If tomorrow comes' ya Sidney Sheldon nimeipa 100/100
Jamaa anajua sana
Vitabu vyengine ni vya Adam Shafi, novels zake zote nimezisoma lkn story ya 'Haini' ndio my favourite. In fact vitabu vyake vyote nimenunua
 
Kuna kile cha kiswahili kilichoandikwa ๐Œ๐ฎ๐š ๐ฐ๐š๐ณ๐š๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐Œ๐• ๐๐ฎ๐ค๐จ๐›๐š nawaza huyu mwandishi alimaanisha nn
 
Left to tell by imaculee ilibagiza, mojo the street boy, where love has gone
 
Riwaya za ben r mtobwa. Kiguu na njia,zawadi ya ushindi, dares salam usiku, roho ya paka,nyuma ya mapazia, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram,tutarudi na roho zetu,mwalimu mwenye mkono wa bandia,mpishi mwenye kibiongo,kipofu mwenye miwani myeusi.riwaya ya c.g. mung'ong'o inaitwa mirathi ya hatari.

Riwaya za euphraze kezilahabi Nagona,mzingile,rosa mistika.riwaya simu ya kifo kama sio msiba itakuwa katalambula ndio mwandishi.

Riwaya ya gabriel ruhumbika inaitwa janga sugu la wazawa.

Riwaya za shaban robert adili na nduguze, maisha yangu na baada ya miaka hamsini, wasifu wa siti binti saad .nimechoka kuandika ni nyingi sana nimesoma hizo zote hapo juu nimesoma achana na zile za olev na advance.

Tamthiliya za mashetani,kitumbua kimeingia mchanga pambo,ngoma ya ng'wanamarundi,tendehogo

Mashairi, da diwani ya mnyampala,ya mathias mnyampala, utenzi wa nyakiiru kibi.


Riwaya za safari ya chinga,safari ya prospa ,kisiwa chenye hazina, shamba la wanyama .wadau nivingi nimesoma.vingine nimeanza kuvisahau.
 
Riwaya ya mashimo ya mfalme suleimani. Zile za olevo, Takadini, watoto wa mama ntiliye, joka la mdimu.
Tamthiliya za ngoswe,orodha,kilio chetu, ushairi chekacheka,malenga wapya,wasakatonge.

Advance riwaya vuta n' kuvute ya shafi adam shafi.,mfadhili husein tuwa,nyingine ya wahusika gonza chioko na neli nimeisahau

Mashairi ya fungate ya uhuruya mohamed seif khatibu ,mapenzi bora ya shaban robert ,kimbunga ya haji gora haji chungu tamu ya theobald mvungi.

Tamthiliya ya bibi kirembwe nimesahau taito yake, tamthiliya ya muhusika yusufu na mlemeta na nungunungu.

Riwaya ya kasri ya mwinyi fuad sio ya advance.
Tosha kwa leo vitabu ni vingi kiufupi mimi ni mpenzi wa vitabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ