Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Autobiography ya Hilary Clinton, hili dude lilinikeshesha sana, na Becoming Michele. Pamoja na Jews phenomenal, hivi nasoma kwa kuvirudia sana,🤗
Vingine nimesoma for leisure tu, especially hizi Fictions.
 
James Hadley Chase
 
SAFI SANA
 
Ninety minutes at Entebbe- it was 1980
 
Akuna kama untold story
 
Naomba mwenye soft copy ya kitabu cha "the great ponds by Elech Amadi"
 
Watoto wa mama Ntilie na His Excellence the Head of State
 
Katika kusoma novels kwangu kote...'If tomorrow comes' ya Sidney Sheldon nimeipa 100/100
Jamaa anajua sana
Vitabu vyengine ni vya Adam Shafi, novels zake zote nimezisoma lkn story ya 'Haini' ndio my favourite. In fact vitabu vyake vyote nimenunua
Sidney yuko vzr...
Nilipenda sana novel yake ya "the doomsday conspiracy"
 
Ongezea
7. Simba wa Tsavo
8. Mbojo- Simba mtu… hiki Kitabu kinakupitisha sana maeneo ya Singida huko Ilongero, Iramba nk
9. Kisiwa chenye hazina
10. Kikosi cha Kisasi (Mambo ya Willi Gamba)
11. Rosa Mistica- Korogwe girls hukoo
12. Safari ya Bulicheka na mke wake Elizabeth katika nchi ya wagagagigikoko
13. Alan Quarteman ile story ya kibibi Gagula
14..
 
Kuna kitabu ameandika Tim Butcher...Chasing the Devil out of Africa through prayers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…