Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Neria, ni binti mmoja alitolewa huko Africa magharibi kupelekwa Italy au France.
Km kawaida kazi ilikua atasaidia tu nyumbani pale basi
Alichokikuta kule kilimuangusha sana.
Bosi wake alimgeuza mtumwa ngono.
So huyo binti amepigwa mande mara nyingi km mnyama.
Aliempeleka au kumpa connection akimweleza hajali.
Na huyo jamaa alikopelekwa akawa analeta marafiki zake wanachafua kila shimo wanaloona.
Yule binti either alijiua au alipata kijana mwema wakakimbia kwenda kuanza maisha mengine kokote.
Ntakitafuta library tena soft copy.
Kitakua kwenye record zangu
 
Jamani kama kuna mtu ana soft copy za vitabu vya shaaban Robert anipadie..
 
Mkuu, shauna softy copies za vitabu ( Riwaya ) za Euphrase Kezilahabi?
 
Poor dad and rich dad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…