Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiingereza hiki hata geti la Feza hulijui wewe.I was been there FEZA schools
I never experienced any shit from my teachers
Hakika nipo nakula maisha mazuri ya ualimu.ππ»ππ»ππ»π hope uko hivo now au na zaidi?
niliwai kutamkiwa na ccm kuwa mtofanikiwa uchaguzi wala kuchukua dole lao la makalioni.ila tutalitoa likiwa na mfupa maana kule kuna ozeshaBaadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.
Mojawapo ya Maneno hayo ni kama βHutaweza kufanikiwa hata siku mojaβ.
Wakati mwingine maneno hayo huwafanya wanafunzi kujiona wanyonge na kukata tamaa katika masomo yao na kusababisha baadhi yao kushindwa kutimiza ndoto zao.
Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi wakimaliza masomo baadhi yao hufanikiwa na kuajiriwa katika Taasisi, idara, Mashirika na sehemu nyingine kama hizo.
Walimu hufika kuhitaji msaada na kuwakuta wanafunzi wao waliowatamkia maneno makali wakitoa huduma katika sehemu hizo.
Wakati mwingine husaidiwa lakini pia wakati mwingine hukutana na Vikwazo kutokana na yale waliyoyatenda nyuma.
Walimu tujifunze tuache kuwa wakatili na kutoa kauli kali kwa Mtoto ili kesho yenu iwe Bora zaidi.
Forest??Utakuwa jambazi
R.I.P Patel
Yeah,kama jina lako ,mjukuu wa patel ? Maana I'D ni jina la shule niliyopita.Forest??
Weweee ππ»ππ»ππ»ππ»Mwalimu wetu wa somo la Kiswahili , alikua ni Mhaya. Wakati tunakaribia kufanya NECTA alituambia darasa zima ni vilaza kwenye somo lake hatutofaulu isipokua kijana mmoja wa Kikurya ndio alisema atafaulu.
Matokeo yalipotoka sasa, huyo kijana alipata D. Hakuna aliyepata A ila zilipatikana B mbili tu(moja yanguπ)
π π π ππ»ππ»Nilileta ucheckbob wakubrash viatu baada ya kengele kugonga wakati yeye bado anafundisha akanisimamisha kisha akanisema sana na akaniambia hata unavyoonekana tu utafeli form four. (Kilikua ni kimwalimu cha field)
Mwishoni mwa field yake alitoa test halafu akaweka mambo ya zawadi.
Baada ya pepa siku ya kugawa, majina yakawa yanasomwa kuanzia wa mwisho kuja wa kwanza, yaliitwa majina yote kasoro la kwangu na mkononi mwake akawa amebakia na Karatasi moja tu.
Maneno husemwa ila Ukipata nafasi waprove wrong then weka tinted.ππ
NB:
Moderator naomba muitunze hii comment yangu ili my unborn child akifikia zile level za kutaka kuskia ushuhuda zaidi ili ahamasike kwenye masomo yake nimtajie ID yangu aje ahamasike (maana sitakua na muda wakuongea sana nyakati hizo) wakati huo mimi nitakua nimekunja zangu 4 nakunywa gahawa.
Mpwayungu VillageMimi mwalimu aliwahi kunisisitiza kuwa nisome ili niwe na maisha mazuri kama ya mwalimu