Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Hii ni moja ya sababu za Afrika kukosa strong industrial base, watu mnawaza sana mapenzi kuliko kazi.Kama maisha yako umeyaegemeza kwenye kisasini chochote (movable, unstable object), kamwe katu usitegemee kuwa imara pale mambo yanapoenda mrama.
Iwapo kuna jambo moja ambalo mwanadamu anapaswa kujifunza, basi ni kwamba moyo ni idara nyeti mno kumkabidhi mtu mwingine autawale apendavyo.
Ni kweli kupenda kupo, lakini upendo bila akili yenye maarifa ni upumbavu. Blind love will always lead the very individuals into a ditch.
Thanks kwa encouragement.Usife...songa mbele kama injili...when love ends life continue
Thanks Chief kwa kunitia moyo.Huwezi kufa ,,Hapo ndo unakomaa uwe vizuri
Brother! experience each and every single inch of pain that comes with losing her while working on yourself as much as you can, plus don’t try to imagine revenge or any bad thing on her , let it go and with time you’ll be healed completely.Napitia kwenye hii hali.
Naumia sana ila sina jinsi.
Sikuwahi kuwaza kama mapenzi yanaweza kunifanya hivi.
Nahisi kufa kufa tu.
Thanks my brother for these beautiful words.Brother! experience each and every single inch of pain that comes with losing her while working on yourself as much as you can, plus don’t try to imagine revenge or any bad thing on her , let it go and with time you’ll be healed completely.
Trust me, after a while everything will start to make sense and most of your broken pieces will be bonded together again and even more stronger!
And there will come a day when you look back only to see that the most beautiful days were the ones that you fought through!
Kuwekeza moyo kwa mtu mwingine anae kuchukulia poa/asiye kupenda ni Maumivu.Napitia kwenye hii hali.
Naumia sana ila sina jinsi.
Sikuwahi kuwaza kama mapenzi yanaweza kunifanya hivi.
Nahisi kufa kufa tu.
Unategemea ulimpenda kwa KIASI gani unaweza chukua hata miaka mi 5.Thanks my brother for these beautiful words.
Indeed you have made my day.
I hope one day each and everything will be okay.
Usipo kua makini kwa mfano inabidi aogope vilevi kabisa vinaweza kumfanya asitumie brain vizuri.Huwezi kufa ,,Hapo ndo unakomaa uwe vizuri
Hufi mkuu ukiendelea kuliweka moyoni utakonda sanaNapitia kwenye hii hali.
Naumia sana ila sina jinsi.
Sikuwahi kuwaza kama mapenzi yanaweza kunifanya hivi.
Nahisi kufa kufa tu.
Kuongea ni vyepesi yakikupata ndipo utauona ugumu uliopo kwa mdau mwenzetu 😊Hufi mkuu ukiendelea kuliweka moyoni utakonda sana
Relax endelea na maisha kama hakuna lililotokea
niliona mahali mtu kaandika ati mechi za man United ziwe zinaonyeshwa gerezani na wafungwa walazimishwe kuziangalia kama adhabu...🤣Shabikia Manchester United utazoea hizo Mambo.