Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

umeongea point sana determination na descipline ndo kitu kinatuumiza sana pia ukiwa na courage ambapo courage inabeba hardworking.Na kusali sana kwa imani yako kwangu mimi naona ndo outputs utaziona umetisha sana
Much appreciation ✌️ Sir 🙏
 
Japo kweli ni suala gumu kutokana na mzigo wa wategemezi kuwa mzito lakini unatakiwa kuwa bahili kwa muda utakaojiwekea halafu baadae utawasaidia hao ndugu ukiwa na ziada(yaani tayari umeshakuwa na msingi) vinginevyo punda atakufa na mzigo hautafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…