Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
That's word "J" what does it mean mate?We j
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's word "J" what does it mean mate?We j
Much appreciation ✌️ Sir 🙏umeongea point sana determination na descipline ndo kitu kinatuumiza sana pia ukiwa na courage ambapo courage inabeba hardworking.Na kusali sana kwa imani yako kwangu mimi naona ndo outputs utaziona umetisha sana
Japo kweli ni suala gumu kutokana na mzigo wa wategemezi kuwa mzito lakini unatakiwa kuwa bahili kwa muda utakaojiwekea halafu baadae utawasaidia hao ndugu ukiwa na ziada(yaani tayari umeshakuwa na msingi) vinginevyo punda atakufa na mzigo hautafika.Bila shaka kufanikiwa kwa mtu katika maisha inategemea mambo mengi sana na jambo mojawapo muhimu ni aina ya familia anayotoka.
Kwa watu wanaozaliwa katika familia tajiri "silver spoon" zenye kipato kizuri kutokufanikiwa ni wao waamue wenyewe kuharibu ila kwa wale wanaotoka katika familia maskini zenye kipato cha chini cha kuganga njaa tu maisha yasogee, zisizo na ardhi au mtaji, zisizo na elimu au koneksheni za maana njia ya mafanikio huwa ni jasho na damu, kama ni mchezo wa mpira tungesema wanaoanza maisha wakiwa nyuma 0-2 ,0-3 wakati wenzao wa familia bora wakiwa wanaongoza 2-0 na familia za kawaida 0-0
Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea familia masikini huku ukiwasadia baba, mama, kaka, dada, wajomba, shangazi, wapwa n.k wanaokutegema na kuhitaji msaada wako kuweza kujikimu? Mbinu gani ulitumia?