CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hao wafanyabiashara wote wanafanyaje biashara?Kujiajiri kunatokana na kuona kitu ambacho wengine hawakioni. Ni kujikana na kuona kila changamoto ni hatua kufikia mafanikio. Ktk nchi ya Tanzania the big Challenge is taxation. Wakati ukiwaza ufanye nini TRA wao wanawazakukukamua kodi.