Uliwezaje kumsamehe mke/mme wako baada ya kugundua kakusaliti?

Sasa huyo mwanamke atapata wapi mwanaume asiecheat[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na yeye mfukunyuku mpaka amejua angetulizanaa tuh... anyway aachane na rafiki ake azidi kumpenda mumeweee
Hata kama mmeumbwa kucheat ndio na rafiki wa mke wako jmn
 
Ndo muache kuleta uzungu kwa ngoz nyeusi,mambo ya family friend waachien wazungu...ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO!!![sauti ya mtu aliae nyikani]
 
Siwezi kumsamehe msaliti oyaaaaa ukimwi mbaya jaman
 
It's a nature,inaaminika kuwa mwanamke akichepuka amependa kutoka moyoni,so kubadili msimamo wake ni ngumu,lkn mwanaume anachepuka kwa tamaa tu,ndio maana kuna wanaume wengine ni wachepukaji sana lkn hasahau familia yake kamwe
Naomba wanawake mtuelewe hapa
 
Hata kama mmeumbwa kucheat ndio na rafiki wa mke wako jmn
Kawaida tu hiyo, ni tukio fulani amazing sana kupiga shoo na rafiki ya demu wako. Ni mojawapo ya shoo nazipenda sana

Sema huyo mwanetu alikosea wenzake tunafanya kwa usiri wa hali ya juu
 
Kuchitiwa kunauma ila kuchitiwa na rafiki kunauma zaidi.....

Kuhusu cha kufanya I reserve my comment [emoji16] sitaki kuchafua hali ya hewa.
Kimsingi unapomtambulisha rafiki yako kwa mwanafamilia wako yeyote wa jinsia tofauti UNAWASAIDIA HATUA YA KWANZA YA KUTONGOZANA..

Endapo mmoja akimtaka mwingine. inakuwa simple mno. Kwa sababu umewafanya waaminiane, umewaunganisha.

Imagine rafiki yako anajua jinsi gani mumeo/mkeo alivyo mwema, anavokujali, hadi vile anavyotaka sebuleni na hata kitandani, vyote umemsimulia. Kwanini asitamani viwe vyake??

Tufanye nini, usiwe mwepesi kumsifia saaaana rafiki kwa wanafamilia wako, hasa wa jinsia tofauti. Usiwarahisishie ukaribu.

Hii itapunguza kitu.. japo haiondoi kabisa
 
Ndo muache kuleta uzungu kwa ngoz nyeusi,mambo ya family friend waachien wazungu...ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO!!![sauti ya mtu aliae nyikani]
Hapo kwa mizigo iliyo ndani vipi kuhusu iliyo kwenye buti..?
 
Wanawake mbona mnaweza kabisa kusamehe,ajifariji tu wanaume hawaridhiki.

Ni wanaume tu ndiyo hatuwezi kusamehe usaliti na ukijikaza ukaweza hata jamii inayokuzunguka inakuona spark plugs kichwani kwako zimeungua.
Hiyo hiyo jamii inaweza kukujenga na kukuinua kipindi cha maumivu-kila jambo kina mwisho wake
 
Huyo mwanamke mjinga hakuna kitu kinaitwa urafiki wa kweli kuna urafiki, fursa ya wakati na hali ya nyakati. Atubu yeye Kwa kosa alilofanya na uzembe wake. Hata mimi mwanamke wangu akinisogezea mbususu kali halafu yenye muonekano wa Radha kama yake simuachi nalamba. A friend is longtime future enemy and an enemy is the next savior
 
Wanaume wengine huwa hatuelewani katika hili na sijui kwa nini. Iko hivi nalirudia hili na sitachoka kulirudia.
👇

KOSA LA MWANAMKE KU CHEAT HALISAMEHEKI, HALIVUMILIKI WALA HALINA NAFASI YA MSAMAHA HATA KWA BAHATI MBAYA.

HALISAMEHEKI, HALISAMEHEKI.

Wanaume sijui mnanielewa hapo? Sijui nitumie lugha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…