Uliwezaje kumsamehe mke/mme wako baada ya kugundua kakusaliti?

Uliwezaje kumsamehe mke/mme wako baada ya kugundua kakusaliti?

Hapo kasalitiwa zaidi ya mara 2.

Nii haki yake kuumia sana..

Mi siwezi hata nikikuta msg tu inayoprove usaliti 100parce nasamehe lakini ndoa inakufa
 
Wanawake mbona mnaweza kabisa kusamehe,ajifariji tu wanaume hawaridhiki.

Ni wanaume tu ndiyo hatuwezi kusamehe usaliti na ukijikaza ukaweza hata jamii inayokuzunguka inakuona spark plugs kichwani kwako zimeungua.
Mbona unachanganyikiwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hata kama mmeumbwa kucheat ndio na rafiki wa mke wako jmn
Nadhani kwa hili mwanaume mwenzetu kakosea sana tena sana

Yaani kamdhalilisha mke..

Kucheat plus kumdhalilisha mke ni kitu kibaya sana..

Mfano unatembea na rafiki yake au ndugu yake au house girl au mdada wa karibu na nyumbani hapa tunasema unamdhalilisha mke abalo ni kosa kubwa sana kufanyia mkeo..
 
Sijui kwa nini watu wanaona kusamehe dhambi ya usaliti ni kawaida tena kwa watu walio kwenye ndoa.

Unapoingia kwenye ndoa ni umeamua kuwa na huyo mtu wako ndio maana mnakula viapo iwe kidini au kimila.

Dhambi ya usaliti haina msamaha. Mimi siku nachukua mke niliwaambia wazazi wa pande zote. Mmoja wetu akionekana msaliti itakua mwisho wa ndoa na hakuta kua na vikao. Wote tukakubaliana
 
Point
 
Mimi wife nilishamwambiaga live tena seriously nibola ukanipiga risasi mungu akasaidia nikapona ukiniomba msamaha nitakusameh na tutaendelea na maisha yetu kuliko kukukamata unacheat yaan sahau kuhusu msamaha milele mbaka siku naingia kaburini yaan No discussion No apologizes Over [emoji2285]
 
Mlio kwenye ndoa wote mnagongewa au mumeo anachepuka so relax
 
Ukiwa na Baba Asprin niamini Hutopata dhambi!
Au Ukipata ni Rahisi sana Kusamehewa.
Ila Kwa Wengine Dhambi chaap na Hutosamehewa!
Hutojuta Kuwa na Babu Asprin[emoji12]
Ahsante sana kwa kunipambania mkuu ndugu yangu

Hakika tutaenda wote mbinguni
 
Back
Top Bottom