Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hesabu ya dunia gani?Mkuu twende hivi,
Tsh200,000 kwa siku maana yake ni Tsh600,000 kwa mwezi.
Sasa kwa mfuko wa bond fund UTT ili upate. Profit kwa mwezi mil sita sawa na 0.9% ya mtaji, hivyo yakupasa kuwa na Capita ya mil 670 Tsh. Sawa na dola292k
Mil 670, fanya tu hivi, nunua instant account kwa prop firm ya Dola 10000, then itrade Hadi Dola 292k ,ukifikisha usipoteze muda chomoa kwenda bank account then hamishia UTT.ukifanikiwa tu, basi utakuwa unapokea gawio la 6mil miaka yote utakayoishi duniani.sawa na 200k kwa mwezi.. provided capital Yako IPO palepale.
Sound zote za jamaa ndio alikua amewalenga watu kama wewe. Jiandae kupigwa na kitu kizitoTufundishe hiyo forex broo
mkuu ni forex sema unaifanya kupitia prop firms, mfano kuna finotive funding wana account za instant zina bei zake hakuna cha kufanya challenge so wewe unachotakiwa kufanya ni kucontrol risks ili usipoteze account.ukiwa na 100k account instant na ukamanage drowdown vizuri kutoboa ni kugusa, simanisha ni simple hapana na kupoteza pia ni simple tu.insta acc unafanyaje business au unamaanisha forex acc
ikifa je?Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
una roho ngumu?Tufundishe hiyo forex broo