slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 312
- 363
Hawa vijana na mabonanza yao ni hatariFanyeni kazi halali nyiee
Msipende mteremkoo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa vijana na mabonanza yao ni hatariFanyeni kazi halali nyiee
Msipende mteremkoo
Ova
Mabonanza ndio maninihawa vijana na mabonanza yao ni hatari
Watu wa forex ni wavivu wakupambana mtaani hawana tofauti na wabetting, yani 10k usd unaenda kugamble na kuna fursa kibao mtaani kama sio uvivu ni nini?Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
Kama unahisi forex ni uvivu jaribuWatu wa forex ni wavivu wakupambana mtaani hawana tofauti na wabetting, yani 10k usd unaenda kugamble na kuna fursa kibao mtaani kama sio uvivu ni nini? Na msemo wenu wa nikipata mtaji wa 10,000usd kama mmeshindwa kuraise kiasi mlichonacho mpaka kufika uko ata ukipewa iyo ni kazi bure.Mtu aliyefanikiwa kuraise 100usd mpaka kufika 10,000usd mimi niko tayari kuwekeza kwake 10,000 usd [emoji89]. Tusitoane kwenye reli atii..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
MmeanzaUkiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
Maforex mabonanzaMabonanza ndio manini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chunga tamaa mbaya..
Saloon ya mtaji wa 20m ikupe faida ya laki 2 kwa siku!Unaota mkuuMbona simple sana inategemeana na mtaji uliyowekeza na aina ya biashara unayofanya. Mfano ukifungua saloon ya kisasa yenye mtaji wa milion 15 mpaka 20 hiyo pesa unaipata
Ila inawezekana sana kumake laki mbili ukiwa na $10,000 kwenye akaunti daily bila pressure.Watu wa forex ni wavivu wakupambana mtaani hawana tofauti na wabetting, yani 10k usd unaenda kugamble na kuna fursa kibao mtaani kama sio uvivu ni nini? Na msemo wenu wa nikipata mtaji wa 10,000usd kama mmeshindwa kuraise kiasi mlichonacho mpaka kufika uko ata ukipewa iyo ni kazi bure.Mtu aliyefanikiwa kuraise 100usd mpaka kufika 10,000usd mimi niko tayari kuwekeza kwake 10,000 usd [emoji89]. Tusitoane kwenye reli atii..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
KamaliIla inawezekana sana kumake laki mbili ukiwa na $10,000 kwenye akaunti daily bila pressure.
Ngoja mi nionyeshe hapa akaunti hii ya dola mia nimeiweka kwenye cent akaunti inayoonyesha $10,000 kama inavyoonekana hapo chini.
View attachment 1788227
Ntaleta mrejesho baada ya miezi mitatu alafu uwekeze na mimi mkuu.
sawaKamali
Isije ikawa demo tu..Ila inawezekana sana kumake laki mbili ukiwa na $10,000 kwenye akaunti daily bila pressure.
Ngoja mi nionyeshe hapa akaunti hii ya dola mia nimeiweka kwenye cent akaunti inayoonyesha $10,000 kama inavyoonekana hapo chini.
View attachment 1788227
Ntaleta mrejesho baada ya miezi mitatu alafu uwekeze na mimi mkuu.
Kama hujui haya mambo bora ukauliza,hii sio demo ni real,dola mia sio hela nyingi sana usiogope.
hesabu za matikitiMkuu hapa inategemea na ukubwa wa biashara unaiyoifanya(kama mfanya biashara) na wapi unafanyia biashara husika (idadi ya wateja)
Tufanye unafanya biashara ya kuuza ice cream maeneo ya shule/vyuo;
Idadi ya ice cream kwa siku (3000 pcs) ambapo unazisambaza na kuuza kwa shule/vyuo 10 kwa kila kituo utauza pc 300 ambayo itazalisha mauzo ghafi sh.300,000/- (ikiwa utauza kwa bei ya shilingi 100/- kwa kila ice cream moja).
Gharama za kutengeneza,kupack na kusambaza tufanye 100,000/-
Faida itakuwa 300,000 - 100.000 = 200,000/-
Hapo hiyo idadi ya ice cream isikuchanganye sana amini ya kwamba inawezekana ukiwa na marketing strategy mzuri.
Hizo ice cream zinajitengeneza zenyewe? Sijakuelewa hapa, toa ufafanuziMkuu hapa inategemea na ukubwa wa biashara unaiyoifanya(kama mfanya biashara) na wapi unafanyia biashara husika (idadi ya wateja)
Tufanye unafanya biashara ya kuuza ice cream maeneo ya shule/vyuo;
Idadi ya ice cream kwa siku (3000 pcs) ambapo unazisambaza na kuuza kwa shule/vyuo 10 kwa kila kituo utauza pc 300 ambayo itazalisha mauzo ghafi sh.300,000/- (ikiwa utauza kwa bei ya shilingi 100/- kwa kila ice cream moja).
Gharama za kutengeneza,kupack na kusambaza tufanye 100,000/-
Faida itakuwa 300,000 - 100.000 = 200,000/-
Hapo hiyo idadi ya ice cream isikuchanganye sana amini ya kwamba inawezekana ukiwa na marketing strategy mzuri.
Gharama za kutengeneza,kupack na kusambaza tufanye 100,000/-Hizo ice cream zinajitengeneza zenyewe? Sijakuelewa hapa, toa ufafanuzi
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Subiri hesabu za magari maana za matikiti zitakuozea mkuu.hesabu za matikiti
sure.Subiri hesabu za magari maana za matikiti zitakuozea mkuu.