Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

Haaaahaaa wazee wa forex ngoja aje Ontario akupe muongozo unaweza tengeneza millions of dollars per week!
Utatembelea Vieite na kujenga hekalu oysterbay

Wapi bill Lugano






Nadanganya wadau?
😂😂😂
Ujue forex ni ngumu wengi wanakimbilia kuifundisha ili waishi kwa kufundisha.
Ila wanaoijua hawafundishi Mana hawana muda Ila wanaopiga blaha blaaah hawajui kitu.
Ugumu wake upo kichwani mwako mwenyewe
 
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2

Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
ANZISHA KITUO CHA MAFUTA YA MAGARI
 
Unataka kupanda shingapi hadi ufikirie kuingiza hiyo hela. Kama mm sijawahi na sijui
 
Kupata laki mbili kwa siku inakubidi uwe na shughuli yenye mzunguko wa milioni 1.8 kila siku, yan uwe unazungusha biashara yako kwa siku na mauzo ya kiwango cha chini iwe 1.8M, Sasa kama mauzo yanaenda kiasi hicho, Huo mtaji wake ni bei gani? Hakuna hela rahisi, fanya kazi kwa bidii ukipunguza gharama za uendeshaji hela utaiona.Haina maana kutafuta hela wakati huna malengo nazo.
 
Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
Kwa mtu mwenye skill na forex sidhani Kama huu ni muujiza!

Hii ni Kama ule mfano uliotolewa kwenye biblia ya wale waliopewa Vito wengine walizalisha mwengine akatunza!. Kuna mwengine hata akipewa fedha hiyo hawezi zalisha chochote hata kwenye biashara ya dagaa!

Biashara yoyote inahitaji maarifa Kama hakuna maarifa jua pesa ya mtaji uliyonayo umeshaifilisi!
Navyofahamu biashara yoyote inahitaji maarifa,nidhamu,maono na saikolojia pia maana unaweza kuwa na biashara lkn ukashindwa kucheza na saikolojia ya wateja wako na ukaishia kuwapoteza!.
 
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2

Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku mojne

Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2

Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Nenda kigoma wakakupe ndagu ya kutokujisaidia chooni wew ni vichakani tuu hahah ndagu bana😁
 
Kama hufuati money management inapotea ndani ya sekunde,

Ila kama una trede kitaalamu hiyo laki 3 ni sawa na dola 140 ambapo unahitaji kuweka lot ya 0.20 position moja tu ikitembea pips 100 tayari.

Na hapo ni ngumu sana kuunguza hata usipoweka stop loss
Unavyotaja hizo pips 100 utafikiri ni rahisi kama kupiga kura ya ndio, consolidation, negative volatility bado mabroker watrade against em usitukumbushe haya mambo we kama unatrade huko ccm kwa hela za chama trade tu sawa!?..
 
unavyotaja hizo pips 100 utafikiri ni rahisi kama kupiga kura ya ndio, consolidation, negative volatility bado mabroker watrade against em usitukumbushe haya mambo we kama unatrade huko ccm kwa hela za chama trade tu sawa!?..
Mkuu kwani ulishikiwa bunduki kwamba utrade?

Kitu ukishindwa usifikiri kila mtu anashindwa
 
Back
Top Bottom