Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

Hii hesabu ya dunia gani?
 
insta acc unafanyaje business au unamaanisha forex acc
mkuu ni forex sema unaifanya kupitia prop firms, mfano kuna finotive funding wana account za instant zina bei zake hakuna cha kufanya challenge so wewe unachotakiwa kufanya ni kucontrol risks ili usipoteze account.ukiwa na 100k account instant na ukamanage drowdown vizuri kutoboa ni kugusa, simanisha ni simple hapana na kupoteza pia ni simple tu.
 
unashangaa milioni kuna watu sales zao kwa siku zinafika 100m


haya unafanya biashara gani? tuangalie kama inaweza leta hiyo 200k au kutuchosha tu
 
Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
ikifa je?
halafu $10k sawa na Tsh.25m
investment ya 25m kupata faida ya 300k inawezekana tena biashara ambazo hazina risk kama forex


NB: risk takers always win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…