Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

Nilichambwa mbele ya rafiki zangu niliabika mimi,niliaibika sana!.
Sikia tu mtoto wakike amesimama mbele yako,mguu mmoja mbele, kiunoni kajivika kanga kana kwamba anataka kukata mauno! Halafu ananesanesa halooo!! Lile neno la "UNIKOME" nilikuwa nalisikia kuanzia kiambishi awali cha Kati na kiambishi tamati!,mzizi wa neno,na ndipo nilijua hilo neno ni sentensi ya kujitegemea na iliyijitosheleza!.
Nilikuwa mnyonge kama nimemwagiwa maji!.. kitoto cha watu kimefura,ule mtaa niliacha kwenda kwa wiki kadhaa.[emoji23]
Dogo una matukio!
 
Acha fujo mi sio konoboy nina jina langu zuri na lenye heshima kenzy!.
Takata mtu mitama ya shingo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hilo la konoboy ndio utaanza nalo MWAKA mpya
 
Dogo una matukio!
Na hili bado nilikuwa primary!
Nafikiri nina la kuitendea hii nchi nampango wa kuja kuwa rais sasa ombeni katika miaka yangu ya utawala nisiandikiwe au nisiambiwe hili neno "me & you it's over!".
Hiyo nchi ntakavyoiendesha hamtaamini haiwezekani mpaka nakuwa rais wa nchi bado naachwa!. Mbona maji mtaita mma!.
 
Yaani utendwe na wengine taabu utupatie sisi!! Basi hautokuwa rais.
 
Nilichambwa mbele ya rafiki zangu niliabika mimi,niliaibika sana!.
Sikia tu mtoto wakike amesimama mbele yako,mguu mmoja mbele, kiunoni kajivika kanga kana kwamba anataka kukata mauno! Halafu ananesanesa halooo!! Lile neno la "UNIKOME" nilikuwa nalisikia kuanzia kiambishi awali cha Kati na kiambishi tamati!,mzizi wa neno,na ndipo nilijua hilo neno ni sentensi ya kujitegemea na iliyijitosheleza!.
Nilikuwa mnyonge kama nimemwagiwa maji!.. kitoto cha watu kimefura,ule mtaa niliacha kwenda kwa wiki kadhaa.😂

Ukiwa unatongoza kwa simu hatuhesabu Kama unatogoza.
unakuw unafanyaje mkuu
 
Binafsi siku ya kwanz natongoza ilikuw xhule nakumbuka enzi hizo nakumbuka shule yetu ilikuwa mix halaf ya bwen so mtoto nikamlia timing muda wa prepo japo nilikuw na hofu kichiz so muda wa prepo ulivofika nikaomba nafasi ya kuongea nae,basi alivokuja nilijikuta napata ujasiri na kujisemea moyoni kuwa mi ni mwanaume ntamuogopaje mtoto wakike kumwambia nampenda bac nkaanza kupiga sound taratibu nakumbuka alichoniambia ni 'naomba nikasome kesho tutaongea'.
kesho yake bana sikumchelewesha nikamwita class baada ya lunch kiufup ni alinielew japo alinipa maxhart kibao nakumbuka nilimgegeda akiwa bikra tulivofunga shule kabla hatujaenda makwetu.
tulivomaliza shule kila mtu alishika zake nikakumbuka kauli moja hv "MAPENZI YA SHULE NI KAMA VITOLOLI VYA SUPERMARKET UKIMALIZA KUVITUMIA UNAVIACHA HAPOHAPO"
 
Kutongoza ni kudanganya kwa heshima,mbinu na akili.Kila mtongozaji mzuri ni mtu mwenye hivyo vipaji.Mimi sikumbuki hata ilikuwaje.
 
Nilijipa ujasiri kumtongoza demu flan hiv ......nikaambulia matusi........

Kufupisha story ....nilianza kumkwepa ....ila now.....anajileta mwenyew
Kawaida yao!! Na sijui ni kwa nini huwa wanafanya come back
Sijui huwa wanawaza nini!
 
Back
Top Bottom