Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nazipataje windows os zilizokuwa salama kabisa
Ndio inawezekana mkuu, sijawahi fanya kwa kali ila distro nyingi za linux zinakubali kuweka kwenye flash na ku boot tokea kwenye flash.Mkuu nahitaji ushauri, nataka ni install Kali linux kwenye flash drive, vipi naweza tembea na hiyo flash nkifika kwenye computer ya mtu mwingine naiweka naboot kuingia kwenye hio kali, is that possible.
Chief-Mkwawa karibu na wewe mkuu utoe ushauri.
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer Unamaanisha nini?au unataka watu wanunuwe Windows orignall kutoka Microsoft office? hebu tupe ufafanuzi zaidi hapo.Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.
View attachment 2772888View attachment 2772889
Mkuu samahani, wifi ya Airtel gharama zake zikoje.pc yangu inaganda na kuji restart nikiconnect tu wifi yangu ya airtel ila kwa etherneet inakubali na hotspot yasimu inakubali
0654606507Mkuu samahani, wifi ya Airtel gharama zake zikoje.
Ndio cracked sio nzuriEpuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer Unamaanisha nini?au unataka watu wanunuwe Windows orignall kutoka Microsoft office? hebu tupe ufafanuzi zaidi hapo.
Ifanyie recovery itakaa sawapc yangu inaganda na kuji restart nikiconnect tu wifi yangu ya airtel ila kwa etherneet inakubali na hotspot yasimu inakubali
Skuiz aitumikiNataka kujua jinsi ya kuinstall Windows 3.11 ya miaka ya 90's
Change tu mkuuMkuu computer yangu iko nakataha ku change system
Ndio nataka sasa kuitumia niifahamu zaidiSkuiz aitumiki
Inawezekana Ila sio kwa hizi kali za kawaida ingia google tafuta kali live image hiyo inakuwa ukichomia flash umeondoka na kila kitu then download version unayotaka alafu tengeneza bootable yake kisha endelea ku injoi maisha kabla hujafa chiefMkuu nahitaji ushauri, nataka ni install Kali linux kwenye flash drive, vipi naweza tembea na hiyo flash nkifika kwenye computer ya mtu mwingine naiweka naboot kuingia kwenye hio kali, is that possible.
Chief-Mkwawa karibu na wewe mkuu utoe ushauri.
Inawezekana yangu nilichange, ila sio rahisi kama kwenye PC.Mkuu inawezekana ku change operating system ya simu