Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Wakuu nimepata Laptop Mpya kabisa...
Core 7
G6 Hp
Ram 16
Ssd 250
8Gen

Ila nahitaji Soft Org.
Kama
1.Windows
2.Office
Adobe
PDF.
Aunt virus
 
habari za saizi Mr samahani ninaomba msaada mimi natumia nokia lumia 635 mwanzo nilikua napata program zote facebook whatsapp instagram lakini saizi hakuna tena na hata kuunganisha google account haitaki na app store haifunguki nifanyeje niweze kufix ifanye kazi
 
Hmmh? Kuna watu bado mna simu hizi? Aah washaacha kusupport windows phones hawa devs wa hizo apps..
 
habari za saizi Mr samahani ninaomba msaada mimi natumia nokia lumia 635 mwanzo nilikua napata program zote facebook whatsapp instagram lakini saizi hakuna tena na hata kuunganisha google account haitaki na app store haifunguki nifanyeje niweze kufix ifanye kazi
WhatsApp ngumu ila vitu kama fb, YouTube, na apps nyengine ambazo unaweza kuzi access online inawezekana.

1. Hack simu yako/jiunge developer mode ili uweze kusideload apps. Njia official kulikua na limit ya app 3 ama 10 sikumbuki ila kulikua na chinese tool app unlimited unaweza.

2. Tafuta Xap za app unazotaka sideload kwenye simu yako.

Utahitaji laptop kufanya hiyo kazi, sikumbuki vizuri step by step ila cheki youtube kuna tutorial za kutosha namna ya Kutumia hio chinese tool.
 
Mkuu naomba kuuliza nataka nidawnload software ya cracked adobe photoshop bila kulipia ,je ni website gn ,iliyo safe kudwnlod nispate virus?
 
Back
Top Bottom