Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Nina laptop HP probook 645.ram 4gb,500gb harddisk,inatumia amd.
Niliwekaga windows 8.1 ya crack toka mwaka 2017 hadi leo sijawahi badili.sasa juzi imeanza mawenge nikiwa naangalia movie masaa 4 naa inajizima ghafla,ukiiwasha inazima pia hadi ipoe ndio ukiwasha inatulia.
Cursor nayo inakua na mawenge mno hadi natumia ile cursor ya kipira inayokaa katikati ya keyboard,games ghafla haziplay kwanzia fifa14,fifa15 hadi eurotruck ikianza tu ikipata moto inajizima.antivirus ipo.
Sasa sielewi tatizo ni windows au ni hardware nimpelekee fundi akaifungue?
 
Ngoja waje...

bt huenda ni tatizo la cooling system. Isafishe vumbi..
 
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.

View attachment 2772888View attachment 2772889
Mkuu naomba maelekezo juu ya hili ,napata ujumbe kwamba "your windows license will ezpire soon" you need to actvate window in settings ukienda kwenye settings inakutaka utumie product key
 
Attachments

  • 20240705_104319.jpg
    20240705_104319.jpg
    961.8 KB · Views: 6
Mkuu naomba maelekezo juu ya hili ,napata ujumbe kwamba "your windows license will ezpire soon" you need to actvate window in settings ukienda kwenye settings inakutaka utumie product key
Tumia hii app mkuu Ku activate hiyo windows itakupa product key

Zima kwanza windows security
 
Mkuu
Kuna simu hapa Samsung s21 ultra 5g
Imegoma kusoma line
Baada ya ku update software
Fundi kaniambia ilikuwa rooted sijui ndyo nini..kaishindwa ipo tu hapa sijui naifanyaje
 
Ulinunua kwa mtu au mpya ? Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.
Jaribu ku update system software kwenye settings na kama tatizo likiendelwa itahitaji ku repair network file kwa kutumia computer
 
Niliupdate ndyo ikagoma kusoma network
Sijajua kainunua wapi ni simu ya mdogo wangu

Hiyo setting ya computer naifanyaje maana fundi kairudisha kwamba haifai tena au aliona uvivu kuiset
 
Peleka kwa fundi kariakoo aseti hiki network file kwa kutumia computer
 
Back
Top Bottom