Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Shida ni kwamba simu nipo nayo dodoma na niliipeleka Samsung hapa ndyo wakanipa hayo majibu sijui ntapata wapi fundi wa uhakika hapa dodoma
 
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.


View attachment 2772888View attachment 2772889
Kuna ishu nataka unipe muongozo jinsi ya kurecover data kwenye unallocated space
 
Kuna ishu nataka unipe muongozo jinsi ya kurecover data kwenye unallocated space
Tumia data recovery software kama recuva Mkuu ila ni ya kulipia hizo au soma 👇👇

 
Tumia hii app mkuu Ku activate hiyo windows itakupa product key


Zima kwanza windows security
mkuu window security nazima nikiwa naanza kuidownload au baada ya kudownload nazima wakati wa kuinstall?
nina shaka kuingia mtandaoni nikizima window security
 
Natumia cracked window 11 , unashingapi nikuuzie activated mpaka 2046, full mautamu tu, pia Nina pirated program nyingi sana.
Mkuu nahitaji Microsoft 360 kwa haraka sana iwezekanavyo. Au nikipata Microsoft Word full version itanitosha kwa sasa.

Naomba unijibu please!
 

Attachments

  • 20240706_110017.jpg
    20240706_110017.jpg
    1.2 MB · Views: 8
Back
Top Bottom