Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #101
Karibu sana kakaMkuu asante sana nimefankkiwa kua activate,ubarikiwe kwa elimu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana kakaMkuu asante sana nimefankkiwa kua activate,ubarikiwe kwa elimu hii
Mkuu samahani pc yangu ina shida Kwenye keyboard nili nunua wiki 2 zilizopita gafla keyboard ikaanza ku type slowly mpaka u connect kwenye charge ndo ina type normal msaada please PC yenyew details zake ni hizo chiniKaribu sana kaka
Update drivers mkuuMkuu samahani pc yangu ina shida Kwenye keyboard nili nunua wiki 2 zilizopita gafla keyboard ikaanza ku type slowly mpaka u connect kwenye charge ndo ina type normal msaada please PC yenyew details zake ni hizo chini
Custom only mkuu piga hapoMimi ninashida ya kurepair Windows 10 imekataa kabisa kuwaka PC yangu inadai repai
Msaada tafadhali nafanyajeNina unt virus kweny flash lakin nikieka kweenye pc yang sion ikifanya kazi
Update windows hiyo"your version of windows 11 has reached of service. click to download a newer version of windows 11 to stay supported." msaada tafadhari
Unatumia operating system ipi? Kama ni 10 usiweke hiyo antivirus sababu Inayo Windows security tayariNina unt virus kweny flash lakin nikieka kweenye pc yang sion ikifanya kazi
Unatumia operating system ipi? Kama ni 10 usiweke hiyo antivirus sababu Inayo Windows security tayari
Unatumia operating system ipi? Kama ni 10 usiweke hiyo antivirus sababu Inayo Windows
Oh naUnatumia operating system ipi? Kama ni 10 usiweke hiyo antivirus sababu Inayo Windows security tayari
Tumia kmspico kupata license yake ndugu yanguOh naile mesej ya activate windows ambayo inakaa kushoto chn aitok vp naomb unielezee
KakaUnatumia operating system ipi? Kama ni 10 usiweke hiyo antivirus sababu Inayo Windows security tay
Kaka pc yangu taa za keyboard aziwaki sjui kwann
Nambie nduguKaka
Yangu Mimi HP pavilion gaming pc nataka nishushe windows tenSikumoja nilikutana na hii machine Predator Gaming Laptop 12th Generation! Issue ilikuwa kupiga windwos tu ila nimefanya utundu wangu wote mpaka kutumia RST Driver ila kila kifika sehemu ya kuchagua HDD/SSD ila Device zilikuwa hazionekani!
View attachment 2780834
Unfakiri nilikwama wapi?