Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Nataka kujiunga Masters MBA distance mwaka huu,joining form nazipataje?any help mkuu
Ingia katika website ya chuo au fika kituo chochote cha OUT kilicho karibu nawe, OUT wana tawi kila mkoa.
 
Kwa uhakika nakushauri ujaze fomu ya maombi
Masomo Huria sio masomo wazi na masafa
 
Foundation Course pia
 
Je kama mtu amedailiwa Julai anaweza kuomba masoma yake yaanze Oktoba (iwe kama amedailiwa Oktoba)? Na taratibu ni zipi za kufanya hivyo?
 
Mkuu me naomba unifahamishe kuhusu mambo kadha wa kadha

1:Kwa mtu mwenye cheti cha Ualimu Grade A anaweza kujiunga OUT na akasoma kozi ya Business Administration ngazi ya Diploma?

2:Na je kama inawezekana ada zao zipoje?

Msaada please nitashukuru sana
 
mie nataka soma cert ya sheria sifa na vigezo ni vipi pia ada ni kiasi gani?
 
Kwenye application Kuna sehemu wanasema O level school ambayo ulisoma.Lakini nafasi ya kuandika haipo na ukitaka kuendelea inasema andika Kwanza jina la shule uliyosoma.Sasa Hiyo shule unaandika wapi
 
Kuna rafiki yangu kila akiomba course ya foundation ana kosa na vigezo anavyo ana D S S advance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…