Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Hahahaaa elimu ya bongo complications nyingiiiiiiii lakin bado vilaza wapo lukuki na wengi wao ni hao hao walio soma elimu hiyo hiyo sijui tatizo ninini
ndalichako anayakujibu uko aendako amewatesa sana watoto wasio na hatia...
 
Tuliotoa 40,000/= zetu vipi?

chase a check.. never chase a b!tch
 
Mimi nataka kujua ada tu. Kwa certif na diploma.
 


Naomba nifahamishwe vyuo vizuri vya afya ili kijana wangu aweze kuapply kusomea clinical mediciine.....Amemaliza form six ila hakupata grade nzuri kwa masomo ya PCB kwa hiyo inabidi asomee diploma kwa kutumia grade za form four...Yeyey ndoto yake ni kuwa daktari ...kwa hiyo nimeshauri aanzie diploma...msaada tafadhali wa vyuo vya afya..
 
dindilichuma mkuu mbona taasisi yenu ya iemt iliyo chini ya dk nfuka ni wababaishaji kwa kiwango hicho?,nina mdogo wangu alisoma hapo diploma in computer science amemaliza mwaka jana hadi leo taarifa zake hazipo nacte.

Anashindwa ku verify vyeti vyake kwenye system ya nacte anambiwa matokeo yao bado hayapelekwa.na hili tatizo hadi limesha mfikia dk nfuka mwenyewe.
 
Habari, mimi nahitaji kujiunga na OUT na ni mwajiliwa lakini sifaham chochote kuhusu hiko chuo nahitaji ufafanuzi, Je Lecture hua wanafundisha kama kawaida au inakuaje? na kingine kama hawafundishi system ya usomaji wa hapo ikoje na ada zao zikoje??
 
Habari, mimi nahitaji kujiunga na OUT na ni mwajiliwa lakini sifaham chochote kuhusu hiko chuo nahitaji ufafanuzi, Je Lecture hua wanafundisha kama kawaida au inakuaje? na kingine kama hawafundishi system ya usomaji wa hapo ikoje na ada zao zikoje??
Hapana hii ni distance learning ingawa Kuna programme ni Za executive
 
Habari wakuu!
Mimi nina pass ya D tatu, naweza kujiunga na hicho chuo? Na pia kuna course gani za certificate?
Hauwezi kujiunga na Certificate ukiwa na D 3 utaratibu uliotolewa na NACTE ni kuanzia D nne
 
Naona Tatizo hilo lilishashughulikiwa
 
Anaweza kuanza na Foundation programme
 
Kwann kwny center zenu za mikoani mnakuwa wasumbufu sana kuwahudumia wanafunz wanaosoma cert na dip?nasema hvyo kwakuwa mm n muhanga ktk hlo uan mnaboa sana
Sidhani Kama Kuna usumbufu Labda Kama umekutana na mfanyakazi mwenye hulka hiyo ya usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…