Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Kwa Dar-es-Salaam Ofisi za Open University zipo maeneo gani
 
Kuna jamaa angu anasoma out,yeye assignment zote anafanyiwa.huwa najiuliza mtu kama huyo atakaa awe competent kweli au anataka cheti tu?
 
Mkuu Nina diploma ila nataka kuapply kwa kutumia advance certificate maana nazo ni nzuri ki academic chemistry B,biology C na geography C je naweza kukubaliwa kuapply degree?
 
Ndio unakubaliwa Kuomba shahada ya Kwanza. Ingawa inategemea unataka Kuomba programme gani
 
Kuna jamaa angu anasoma out,yeye assignment zote anafanyiwa.huwa najiuliza mtu kama huyo atakaa awe competent kweli au anataka cheti tu?
Huo unakua ni uzembe wa mwanafunzi, hata angesoma chuo chochote angefanyiwa. Assignment unafanya ukiwa kwako kwahiyo kufanyiwa ni uzembe wa mwanafunzi.
 
Ndio unakubaliwa Kuomba shahada ya Kwanza. Ingawa inategemea unataka Kuomba programme gani
Asante mkuu nimeomba bacherol of education in policy and management April intake nasubili watoe selection nikikosa ntaomba July kwa kutumia cheti cha diploma nacho kiko vizuri sana
 
Kuna kozi za IT level ya Master kwa coursework? Nipo mkoa wa Ruvuma
 
Asante mkuu nimeomba bacherol of education in policy and management April intake nasubili watoe selection nikikosa ntaomba July kwa kutumia cheti cha diploma nacho kiko vizuri sana
Kama unasifa hauwezi kukosa mkuu
 
Back
Top Bottom