Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Naweza kujiunga na Diploma in social work 2yrs kwa sasa na ina UNITS NGAPI
 
Naomba kuuliza, baada ya mtihani wa Annual mwezi june , je kutakuwa na mitihani ya Odex kabla ya mwezi September? Na kama hakuna je wanaosoma ofp wanaotarajia kufanya mtihani wa Annual mwezi September watawahi dirisha la udahili vyuo vikuu?
 
Mara nyingi huwa wanazingatia mahitaji ya wanafunzi wa OFP kwa uzoefu wa mwaka wa masomo iliopita kulikua na ODEX kwa watu wa OFP punde baada ya matokeo
 
Je Arusha mpo eneo lipi? na kozi ya records na Human resouce mnatoa?
 
Naomba kuuliza, baada ya mtihani wa Annual mwezi june , je kutakuwa na mitihani ya Odex kabla ya mwezi September? Na kama hakuna je wanaosoma ofp wanaotarajia kufanya mtihani wa Annual mwezi September watawahi dirisha la udahili vyuo vina

Naomba kuuliza, baada ya mtihani wa Annual mwezi june , je kutakuwa na mitihani ya Odex kabla ya mwezi September? Na kama hakuna je wanaosoma ofp wanaotarajia kufanya mtihani wa Annual mwezi September watawahi dirisha la udahili vyuo vikuu?
Na Mimi naombeni ufafanuzi kwa hili
 
Inategemea na interest yake na Malengo aliyo nayo.
Mimi ni intake ya April mwaka Huu nimejiunga na foundation prgm ya Masomo ya PCB nataka Kusoma degree ya COMPUTER SCIENCE ila sijajua kma nitaweza soma degree iyo kwasababu Nina "F" ya math o level na Bam advance ila now NASOMA , je naweza kupata iyo course ya computer science kwa level ya degree Maana nafanya Mtihani ya foundation y PCB sept Mwaka huu
So naweza kupata iyo Course ya CS level ya degree
 
HESABU lazima uwe umepass
Chemistry lazima uwe umepass
English lazima uwe umepass

Ndio unaingia CS kinyume na hapo tafuta course inayoruhusu OFP au anza na diploma usianze Degree maana degree inakukataa Ila Diploma ukiomba na OFP wanakupokea
Screenshot_20230719-082658.png
 
HESABU lazima uwe umepass
Chemistry lazima uwe umepass
English lazima uwe umepass

Ndio unaingia CS kinyume na hapo tafuta course inayoruhusu OFP au anza na diploma usianze Degree maana degree inakukataa Ila Diploma ukiomba na OFP wanakupokea
View attachment 2692725
Sasa kma Nina gpa ya 3.0 ya ofp ya masomo ya PCB ila Nina f ya bam je nitaweza soma computer science
 
Back
Top Bottom