Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
 
Nasikia huko ni maji maji maji

Vipi ripoti za TRA kila mwezi kuwa ni mkoa masikini nchini mna mpango gani wa kujinasua?

Kwa nini mnafungua maduka saa nne pale bukoba mjini?
Maji yapo ya kutosha
Tuna Ziwa Victoria, na baadhi ya maziwa madogo kama ziwa Burugi
Kuna mto Kagera, na mito mingine kama vile mto Ruvuvu wa Ngara na Rusumo

Umasikini wa Kagera umesababishwa na Serikali
Kutokujenga miundo mbinu kama airport, stend za mabasi,
Kutopeleka huduma za jamii kama maji na umeme
 
Maji
Maji yanayozungumzwa si hayo
 
Labda hatujaelewana
 
Maisha ya mjini ni ghali kiasi gani Kwa mgeni

Gharama la lodge Kali au ya wastani

Gharama za nyumba zikoje Kwa kupangisha nyumba ya kibavhelor ila yenye viwango

Viwanja ukitoka km 10-15 kutoka mjini bukoba gharama zikoje
Maisha ya mjini ni Rahisi
Ukiwa bukoba wastani hotel laki 1 unapata
Ukisogea wilayani ni nafuu zaidi ya mikoa yote
Viwanja kuanzia laki 5 unapata
 
Kwakuwa watu wote wa kagera ni matajiri.Je mnampango gani wakusalia na utajiri wenu.Je huwa maskini mnawapeleka wapi hapo kagera?
 
Dah nilifika karagwe kuna watoto wazuri na nipazuri ,nafikiri kuliko kagera nzima ni kweli au ni macho yangu tu ?
Hakika Karagwe na Kyerwa Kuna wasichana warembo mno
Hii ni kutokana na kabila la wanyambo ambao wako huko kuwa mchanganyiko wa Wanyarwanda na Waganda
Me pia nimeona mnyambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…