Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Hakuna Wilaya ya Bukoba Manispaa na Bukoba Vijijini kijana, Wilaya ni Moja inaitwa Bukoba ambayo ndani yake kuna Halmashauri mbili za Bukoba vijijini na Manispaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Hizo cover za nailon zipo kwenye familia nyingiVitanda vya lodge huwa wanatandika mpira/ nylon kwanza ndo mashuka yanafuata juu.
Siku moja nitakuja mkuu , kwani nina marafiki zangu wengi wa huko 🤔Zamu nyingine fika Ngara
Bidhaa ikishakuwa nyingi sokoni hata thamani hupungua. Ndo kinachotokea bukoba miti ya pine imezagaa Kila Kona ndo maana haina bei ukilinganisha na hizo sehemu ulizotaja.Mbona mazao ya miti hasa pine haina bei kulinganisha na mikoa ya nyanda za juu kusini? Nini tatizo la miti ya Kagera?
Kwanini wanawake kutoka Kagera wamekuwa wakisifika sana kwa biashara haramu ya kuuza miili yao ?Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Nitajibu kila swali leo
- Uchumi
- Wakazi na Makazi
- Historia
- Makabila
- Fursa za Uchumi
- Hali ya hewa
- Mahusiano n.k
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
- Bukoba manispaa
- Karagwe
- Ngara
- Biharamlo
- Muleba
- Kyerwa
- Misenyi
- Bukoba vijijini
Sasa huko kwao Washaija wanaishijeNyumba zipo
Kama hujaziona fika Masaki,noystabay, mikocheni utaziona
Mkuu ambaye anadhani wanawake wa kabila lake sio makahaba aweke kabila lake hapa tumpatie data.Kawaida matanga Kwa wakazi wa Kagera ni siku 4, hizi tunaamini zinatosha kuwa faraja Kwa familia
Hizo ni story kuwa wanawake kutoka mkoa wa Kagera ni Makahaba sio kweli
Wengi ni kutoka Singida, Dodoma na Mtwara
sijaongelea wachawi, nazungumza kabila kama kabila, kama mtu amekufa mkazika mkaondoka watakuja kufukua ndio maana kukawa na utaratibu wa kukaa kwenye kaburi kwa siku 14 hasa vijana wanakoka moto wanaletewa na msosi huko huko, hii ni kwa mujibu wa mama mmoja wa kihaya alipata kunihadithiaHizo jamii zipo Kila sehemu hapa Tanzania I meant (wachawi) sio kwa bukoba tu
ooh kumbeHizo habari zipo
Ila sijawi kuthibitisha
Nasikia ukienda visiwa vya Goziba ovyo umekwisha
Naskia asilimia kubwa ya watu wa NGARA ni warundi je ni kweli
Alikuongopea wanaokuka nyama za watu ni wachawisijaongelea wachawi, nazungumza kabila kama kabila, kama mtu amekufa mkazika mkaondoka watakuja kufukua ndio maana kukawa na utaratibu wa kukaa kwenye kaburi kwa siku 14 hasa vijana wanakoka moto wanaletewa na msosi huko huko, hii ni kwa mujibu wa mama mmoja wa kihaya alipata kunihadithia
Mkuu ambaye anadhani wanawake wa kabila lake sio makahaba aweke kabila lake hapa tumpatie data.
Kwani engonga,wale wanawake 400 aliolala nao tena wenye nyadhifa nao wanatoka mkoa kagera?
Sio kwelisijaongelea wachawi, nazungumza kabila kama kabila, kama mtu amekufa mkazika mkaondoka watakuja kufukua ndio maana kukawa na utaratibu wa kukaa kwenye kaburi kwa siku 14 hasa vijana wanakoka moto wanaletewa na msosi huko huko, hii ni kwa mujibu wa mama mmoja wa kihaya alipata kunihadithia