Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Maji yapo ya kutosha
Tuna Ziwa Victoria, na baadhi ya maziwa madogo kama ziwa Burugi
Kuna mto Kagera, na mito mingine kama vile mto Ruvuvu wa Ngara na Rusumo

Umasikini wa Kagera umesababishwa na Serikali
Kutokujenga miundo mbinu kama airport, stend za mabasi,
Kutopeleka huduma za jamii kama maji na umeme
Maji mwenzio kamaanisha kitu kingine kabisa
 
Maji ya wanawake wa kihaya Wakati wa mzagamuo yantokana na Nini?

Usitaje ndizi maana hata wachaga wanakula sana tu na hawana maji!
Hakuna mwanamke anakosa maji
Sio eti wanawake wa mkoa wa Kagera ndo wana maji tu
Me nimefanya mapenzi na baadhi ya wanawake kutoka Singida, Moshi, Pwani, Iringa
Ila ustadi wa kupiga katerero wote walimwaga maji
 
Si
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini

Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
1.Miaka hii ya 2020 Kagera imeanza kupotea kwenye sekta ya Elimu hatuna watu wabobezi mashughuli kama miaka ya zamani Ata mashuleni pia hamtoi vipanga
 
Back
Top Bottom