Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
Hapo sio zote ni Wilaya

Naona wengi tunachanganya wilaya na halmashaur.

Hakuna Wilaya ya Bukoba mjin.
 
Jaribu kuelezea kila wilaya na fursa zake za kiuchumi kwa ufupi.
Bukoba_ hapa panafaa na biashara ya uvuvi na usafirishaji
Bukoba imepakana na ziwa Victoria
Bukoba hapafai Kwa kilimo wana ardhi m
baya mno, usiwekeze ktk kilimo bukoba

Karagwe na Kyerwa_ hizi ndo wilaya Mungu alizibariki wana ardhi yenye rutuba, vyakula vipo, zao la kahawa, madini,utalii, uvuvi n.k

Ngara, huku tuna border mbili ya Rusumo kuingia Rwanda na Kabanga kuingia Burundi
Kuna ardhi yenye rutuba, tuna mazao hadi hayana wanunuzi
Kuna madini ya nikel
Ngara ina umasikini mkubwa Kwa mtu mmoja

Biharamlo
Sio sehemu nzuri Kwa kilimo, labda ufugaji
Biharamlo ni Moja ya sehemu duni sana
Sikushauri kuishi Biharamlo
Labda uwindaji ambao ni haramu na kurina asali

Misenyi
Sio sehemu nzuri pia ya kuishi
Kilimo cha migoba Kwa kiasi
Kuna njaa
Kuna border ya Mtukula kuingia Uganda ndo fursa pekee iliyopo labda na kilimo cha miwa

Muleba
Hii ni sehemu iliyo barikiwa sana
Shughuli za uvuvi zipo
Kilimo wana ardhi nzuri
Uchumi uku vizuri
Tatizo la muleba ni miundo mbinu hasa barabara Kuna sehemu unaweza kutumia hata 40,000 kufika mjini
 
Hakika Wanyambo ni Kabila kubwa
Nadhani Kwa mkoa wetu ndo wanastahili sifa wanazopata wahaya
Wametia wasomi wengi maprofesa hadi cheo cha sir, ambapo ni Sir George Kahama ni mnyambo
Msalimie mzee Biitababaje,Nampesya na wengineo ikawaje mzee Gachocha akazikwa Mwanza
 
Back
Top Bottom