Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Hakika Karagwe na Kyerwa Kuna wasichana warembo mno
Hii ni kutokana na kabila la wanyambo ambao wako huko kuwa mchanganyiko wa Wanyarwanda na Waganda
Me pia nimeona mnyambo
Kati ya wanyambo na wahangaza ni wepi wenye muonekano mzuri? Na ni wepi kuna wife material wengi?
 
Vipi bado Hotel wanatandika mipira ya plastiki kuzuia magodoro yasilowe!?
 
Nilipata hadithi kuwa wanyambo hawapendi kutambuliwa kama wahaya na pia kuna sifa za wahaya kuwa ni wasomi ila sio kihivyo wengi ni wanyambo ila wanatambulika kama wahaya kitu ambacho sio ni kweli ?
Hii ni kweli me mwenyewe MNYAMBO sio Muhaya.
 
sijaongelea wachawi, nazungumza kabila kama kabila, kama mtu amekufa mkazika mkaondoka watakuja kufukua ndio maana kukawa na utaratibu wa kukaa kwenye kaburi kwa siku 14 hasa vijana wanakoka moto wanaletewa na msosi huko huko, hii ni kwa mujibu wa mama mmoja wa kihaya alipata kunihadithia
Na we unakubali kwa hyo baada ya siku 14 hawezi kufufuliwa!?
 
Bidhaa ikishakuwa nyingi sokoni hata thamani hupungua. Ndo kinachotokea bukoba miti ya pine imezagaa Kila Kona ndo maana haina bei ukilinganisha na hizo sehemu ulizotaja.
pia umbali bila shaka.Mtu hawezi kutoa mbao kagera akaja kuuza Dar atachoma sana bora aende hapo Iringa gharama ya semitrailer ni 3m,kwa Kagera hesabu kama 5m almost
 
eti ukimwi ulianzia huko? na wanawake zenu wana maji mengi(njia laini) kwasababu ya kula sana matoke na ndizi bukoba?
 
eti ukimwi ulianzia huko? na wanawake zenu wana maji mengi(njia laini) kwasababu ya kula sana matoke na ndizi bukoba?
Mwanzo mwa mwaka 1980
Ukimwi uliingia Kagera kama ugonjwa mpya ukijulikana kama Juliana
Akauka, slim n.k
 
Back
Top Bottom