Mkoa wetu umasikini sana ingawa vyakula ni bwelele,shida mzunguko wa pesa.Kagera ni kama mikoa ya nyanda ya juu kusini ,mazao yanayolimwa huko hata kagera yanastawi pia.
Shida logistics hazitupi favour kabisa ,nilienda likizo na mama watoto nyumbani tukaenda sokoni akashangaa 10k tumejaza mazaga ya kutosha ,wakati mjini hyo pesa ni 1kg ya nyama tu