Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Mkoa wa kagera hapa nitazungumzia Bukoba mjini na vijijini.

Kuhusu hali ya hewa - huu mkoa hali yake ya hewa ni nzuri Sana . hakuna baridi Sana wala joto Sana .

Kuhusu chakula - chakula kipo na kinapatikana Kwa bei nafuu , ndizi , viazi , mihogo n.k

Kuhusu uchumi - huku pesa uchumi upo chini mzunguko wa pesa ni mdogo

Kuhusu shughuli za kiuchumi - shughuli za kiuchumi ni Uvuvi , kilimo na sasa vijana wengi wanapiga boda boda that is hell 🤔

Kuhusu tabia - huu mkoa watu wanaendekeza Sana imani za kishirikina kiasi ngono Sana pamoja na pombe .

Faida za kukaa Bukoba

Utapata hali ya hewa nzuri
Chakula kwa wingi
Utaweza kupata fursa za uvuvi pamoja na kilimo Kwa urahisi.

Changamoto
-Ubinafsi , kumkuta muhaya anaishi maisha mazuri mjini DSM Ila mama yake anaishi duni Sana ni jambo la kawaida.

-Ukabila huwa wanawaita wageni "abanyamahanga " means peoples from outside.

-uhaba wa fursa - hii inatokona kutokuwepo Kwa viwanda n.k hivyo vijana wengi wamejikita katika kuendesha boda boda .
 
Umemaliza kila kitu

Wakola waitu
 
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
Hakuna wilaya ya Bukoba Manispaa wala Bukoba vijijini bali ni Wilaya ya Bukoba yenye Halmashauri mbili za Bukoba Manispaa na Bukoba, sambamba na majimbo mawili ya uchaguzi ya Bukoba Mjini na Bukoba Vijijini.
 
Hakuna mwanamke anakosa maji
Sio eti wanawake wa mkoa wa Kagera ndo wana maji tu
Me nimefanya mapenzi na baadhi ya wanawake kutoka Singida, Moshi, Pwani, Iringa
Ila ustadi wa kupiga katerero wote walimwaga maji
Kwahiyo mwanaume stard wa kuwatoa maji ni wewe tu? Mbona hao wahaya haihitaji udobevu wowote sekunde kadhaa tuu waaaaaaawhhh
 
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
Historia ya nyaruju (nyumba za mizimu) na malengo yake, ni kweli kuna wahaya wamehamishia nyumba za mizimu Ulaya na Marekani
 
Ni majuzi nilikuwa mkoani kwenu ,hiyo barabara ya hamgembe mpaka rwamishenye hususani pale karibu na kambi ya jeshi itaisha lini ?

Alafu kwanini nilienda saloon kufanyiwa scrub yule dada aliyenifanyia huduma nikamtongoza akanikataa?

Kwanini Sasa ndizi zimeadimika na wakati naambiwa siku za nyuma zilikuwa ni nyingi ?

Aliyewashauri kuweka mataa pale rwamishenye na pale makutano ya barabara ya kashai na barabara itokayo shule ya secondary jafary na soko kuu ni nani mbona sioni tija ?

Kwanini nilizunguka viwanja vyote kila mdada ninayemtaka tukapumzike walinikataa ,kwani Mimi nina shida gani ?
 
Elezea kuhusu sumu iitwayo "KIPEANO" ambayo wahangaza kutoka Ngara huwapa watu wakikorofishana nao.
 
Historia ya nyaruju (nyumba za mizimu) na malengo yake, ni kweli kuna wahaya wamehamishia nyumba za mizimu Ulaya na Marekani
Nyarunju ipo sana Bukoba
Ni kama Ibada ya kimila
Kuna kijumba nje Huwa wanaweka pombe (rubisi) na chakula na cha ajabu chakula na pombe Huwa vinaliwa na viumbe visivyoonekana
Na ukipeleka mambo nyarunju yanajibiwa chap

Kuhusu nyarunju kuwa ulaya Sina uhakika me sijafika ulaya Bado nipo hapa Tanganyika
 
Ni majuzi nilikuwa mkoani kwenu ,hiyo barabara ya hamgembe mpaka rwamishenye hususani pale karibu na kambi ya jeshi itaisha lini ?

Alafu kwanini nilienda saloon kufanyiwa scrub yule dada aliyenifanyia huduma nikamtongoza akanikataa?

Kwanini Sasa ndizi zimeadimika na wakati naambiwa siku za nyuma zilikuwa ni nyingi ?

Aliyewashauri kuweka mataa pale rwamishenye na pale makutano ya barabara ya kashai na barabara itokayo shule ya secondary jafary na soko kuu ni nani mbona sioni tija ?

Kwanini nilizunguka viwanja vyote kila mdada ninayemtaka tukapumzike walinikataa ,kwani Mimi nina shida gani ?
Mademu wa mkoa wa Kagera ni ngumu kuwapenda watu wanje (wanyamahanga) wanaamini hawajui katerero wataenda kuwachezea tu
 
Back
Top Bottom