enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Jaribu kuelezea kila wilaya na fursa zake za kiuchumi kwa ufupi.Fursa za Uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuelezea kila wilaya na fursa zake za kiuchumi kwa ufupi.Fursa za Uchumi
Huyo chief alikuwa anaishi maeneo gani hapo BIHARAMULOWilaya ya Biharamlo ni kati ya wilaya kongwe Tanzania
Imetawaliwa na machief, warabu, wajerumani na waingereza
Kiongozi maarufu wa kijadi alijulikana kama Chief Kasusula
Hapo sio zote ni WilayaLeo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Nitajibu kila swali leo
- Uchumi
- Wakazi na Makazi
- Historia
- Makabila
- Fursa za Uchumi
- Hali ya hewa
- Mahusiano n.k
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
- Bukoba manispaa
- Karagwe
- Ngara
- Biharamlo
- Muleba
- Kyerwa
- Misenyi
- Bukoba vijijini
Bukoba_ hapa panafaa na biashara ya uvuvi na usafirishajiJaribu kuelezea kila wilaya na fursa zake za kiuchumi kwa ufupi.
Hili wengi hawalielewi, Utasikia wilaya y Mbeya mjin.Hakuna Wilaya ya Bukoba Manispaa na Bukoba Vijijini kijana, Wilaya ni Moja inaitwa Bukoba ambayo ndani yake kuna Halmashauri mbili za Bukoba vijijini na Manispaa.
Labda kama hujawahi kwenda mitaa ya wahaya wanaojiuza kuke uwanja wa fisi, temeke, mwananyamala enzi zile.Hizo ni story kuwa wanawake kutoka mkoa wa Kagera ni Makahaba sio kweli
Wengi ni kutoka Singida, Dodoma na Mtwara
Hiyo ni kashfa iliyolikumba kabila hilo. ila ukweli usiopingika siku hizi makabila yote wanafanya biashara hiyo.Labda kama hujawahi kwenda mitaa ya wahaya wanaojiuza kuke uwanja wa fisi, temeke, mwananyamala enzi zile.
Huko ni kubonga kihaya tupu karibu vyumba vyote.
Ushaend maeneo tajwa?? Unadhani kwa wahaya lilitokea tu??Hiyo ni kashfa iliyolikumba kabila hilo. ila ukweli usiopingika siku hizi makabila yote wanafanya biashara hiyo.
Msalimie mzee Biitababaje,Nampesya na wengineo ikawaje mzee Gachocha akazikwa MwanzaHakika Wanyambo ni Kabila kubwa
Nadhani Kwa mkoa wetu ndo wanastahili sifa wanazopata wahaya
Wametia wasomi wengi maprofesa hadi cheo cha sir, ambapo ni Sir George Kahama ni mnyambo
Mukididiri,murugwanza hawajambo?Aisee
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako?..huko ndiko tulikojifunzia papuchino enz hizo.Kawaida matanga Kwa wakazi wa Kagera ni siku 4, hizi tunaamini zinatosha kuwa faraja Kwa familia
Hizo ni story kuwa wanawake kutoka mkoa wa Kagera ni Makahaba sio kweli
Wengi ni kutoka Singida, Dodoma na Mtwara