BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
UWONGO airport ya bukoba Iko poa kulinganisha na mikoa mingineMaji yapo ya kutosha
Tuna Ziwa Victoria, na baadhi ya maziwa madogo kama ziwa Burugi
Kuna mto Kagera, na mito mingine kama vile mto Ruvuvu wa Ngara na Rusumo
Umasikini wa Kagera umesababishwa na Serikali
Kutokujenga miundo mbinu kama airport, stend za mabasi,
Kutopeleka huduma za jamii kama maji na umeme