Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

siyo kweli,mpare wa DSM aliyemwaga maji ni single maza tu na hana kazi.
 
Kwa nini wahaya wengi ambao ni waislam wengi wanatokea mjini pia ni waislam ambao wana itikadi sana na dini yaani swala 5 na kufuga ndevu. Je Mwarabu alifika hapo Bukoba mjini?
Wahaya ni Watu "kuongeza chumvi" kwa kila kitu iwe ni dini(sio waislam hata wakatoliki na dini nyingine) hata kwenye vitu vingine wahaya Wana kimbelembele na kiherehere cha ziada, watu wa kutafuta kutambuliwa kwa kila kitu hata ikibidi KU-FAKE!
 
Wahaya no Watu "kuongeza chumvi" kwa kila kitu iwe ni dini(sio waislam hata wakatoliki na dini nyingine) hata kwenye vitu vingine wahaya Wana kimbelembele cha ziara, Watu WA kutafuta kutambuliwa kwa kila kitu hata ikibidi KU-FAKE!
Mkoa wa Kagera hauna kabila wahaya pekee
Kuna makabila mengine
Kama una mtazamo tofauti na wahaya
Basi rejea makabila mengine mengi yanayopatikana mkoa wa Kagera
 
Asante mkuu Nyamwi255
 
Hivi ni kweli waziba ndio wahaya wanaovutika kama Big G yaani wanajisikia sana?
 
Mleta mada umeamua kutoa dose kabisa 🤣🤣
 
Kageeera ipo waapii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…