Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Kageera senene wanapaatikanaa?
 
Umemaliza 100%✓
 
KASIBANTE FM radio station ni ya KAGASHEKI?!
 
Guest za huko bukoba Wana mtindo wa kutandika ma nailoni kwenye magodoro hii ni kwanini nimeliona huko pekee na no elsewhere in TZ.
 
Je ni kwanini mkoa wa Kagera uko nyuma sana kimaendeleo?nafasi ya pili toka mwisho nini tatizo?huku wasifika kuwa na wasomi wengi!,,na Kama ni kweli nini suluhisho?
 
Naomba kufahamu hotel nzuri (namba moja kwa uzuri, huduma) iliyopo Bukoba Mjini. Ninaomba na mawasiliano yao.
 
Je ni kwanini mkoa wa Kagera uko nyuma sana kimaendeleo?nafasi ya pili toka mwisho nini tatizo?huku wasifika kuwa na wasomi wengi!,,na Kama ni kweli nini suluhisho?
Tatizo la mkoa wa Kagera ni serikali kuutelekeza mkoa wetu
Hawaweki miundo mbinu kama barabara, bus stend nzuri, madaraja, meli n.k

Huduma duni za jamii kama shule, hospital n.k
Sisi Kagera sijui tuliwakosea Nini serikali yetu jamani
 
Uenda ikawa ivyo,lkn mi sometime ata wenyeji hawayataki maendeleo,mfano kuna kipindi soko la kisasa lilitaka kujengwa na serikali,lkn baadhi ya watu (wafanyabiashara na wanasiasa)wakatia fitina na majungu hadi soko likahamishiwa mkoa mwingine,you can imagine,nk nk.labda awamu hii naona Kuna miradi inaendelea Kama barabara bukoba mjini,stand hapo town,na soko nasikia liko mbioni,ngoja tuone.lkn
 
Mmmmmm!!! Wanyaiyangilo na waganda kyaka ni makabila!! Tango pori hili.
Hakuna mwanamke anakosa maji, akikutana na mtaalam laZima maji atamwaga

Makabila makubwa Kagera ni
Wahaya
Wanyambo
Wasubi
Washubi
Wanyaiyangiro
Waganda kyaka
Wahangaza n.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…