Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

UWONGO airport ya bukoba Iko poa kulinganisha na mikoa mingine
 
Kulinda kaburi Kwa siku 14 sio kweli

Hao Makahaba sikatai kuwa watu wa Kagera hawapo
Nimekwambia sio wa Kagera tu Bali huu upotofu wa maadili umewapata makabila yote
 
Hakika Karagwe na Kyerwa Kuna wasichana warembo mno
Hii ni kutokana na kabila la wanyambo ambao wako huko kuwa mchanganyiko wa Wanyarwanda na Waganda
Me pia nimeona mnyambo
Nilipata hadithi kuwa wanyambo hawapendi kutambuliwa kama wahaya na pia kuna sifa za wahaya kuwa ni wasomi ila sio kihivyo wengi ni wanyambo ila wanatambulika kama wahaya kitu ambacho sio ni kweli ?
 
Kawaida matanga Kwa wakazi wa Kagera ni siku 4, hizi tunaamini zinatosha kuwa faraja Kwa familia

Hizo ni story kuwa wanawake kutoka mkoa wa Kagera ni Makahaba sio kweli
Wengi ni kutoka Singida, Dodoma na Mtwara
Matanga Huwa ni siku 7 Hadi 14
 
Nilipata hadithi kuwa wanyambo hawapendi kutambuliwa kama wahaya na pia kuna sifa za wahaya kuwa ni wasomi ila sio kihivyo wengi ni wanyambo ila wanatambulika kama wahaya kitu ambacho sio ni kweli ?
Hakika Wanyambo ni Kabila kubwa
Nadhani Kwa mkoa wetu ndo wanastahili sifa wanazopata wahaya
Wametia wasomi wengi maprofesa hadi cheo cha sir, ambapo ni Sir George Kahama ni mnyambo
 
Mbona mazao ya miti hasa pine haina bei kulinganisha na mikoa ya nyanda za juu kusini? Nini tatizo la miti ya Kagera?
Nadhani hapa tuwapate wataalam wa kilimo cha mazao wafafanue
Ila me hapa nitakudanganya
 
Vitanda vya lodge huwa wanatandika mpira/ nylon kwanza ndo mashuka yanafuata juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…