Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Hamna kitu kama hicho hao wanaojiita watusi ni kikundi kidogo sana cha watu ni rahisi kuwadhibiti huwezi kufananisha na nchi >Iraq, au Libya au Afghanistan vita vyenye mchanganyiko wa watu wengi na makabila mengi

Ukisema SADC ni wachovu unakosea mkuu,Angola nchi ghali kuishi dunia kwa sasa uchumi unakuwa kuliko Ureno na nchi nyingine za ulaya,South Africa ni nchi yenye uchumi mkubwa kwa Afrika nzima, botswana ni hivyo hivyo nchi za SADC huwezi kuzimananisha na nchi za EAC sasa uchovu wao uko wapi,Vita ni pesa bila ya pesa huwezi kushinda vita,sasa Ruanda wana nini labda kahawa na masokwe 🙂
 
Napenda MUKAMASIMBA aendelee kewepo jukwaani, maana kupitia yeye watu wanafunguka zaidi na sisi watazamaji tunafaidi zaidi.

wahenga walinena "ukitaka kuona tumbo piga mgongo"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nikutoe kidogo nje ya mada

Wakati wa mauaj ya kimbari Burundi napo palitikisika, na ni kweli wakimbizi wengi wa Burundi waliishi huku Tanzania hususani Kigoma na baadhi ya maeneo ya Kagera.

Swali hapa ni walipokuwa wanakutana wahutu na watusi nje ya Burundi huko makambini kigoma ilikuaje, hawakuleta chokochoko za kulianzisha??
Maana nachojua mgogoro wa Rwanda na waasi wanaokaa CONGO ni kutokana na wahutu na watusi waliokimbia vita ya 1994 kukutana CONGO na hapo ndipo FDRL na M23 zilipoanza

Vipi kwa Tanzania iliwezekanaje kudhibiti hali ya mambo wakati wote wahutu na watusi walikutana makambini??? Au kulikua na jinsi ya kuwatenga makambini pale Kigoma??
 
mkuu hinder.
unaonaje ghafla jw wakitibuana na Rwanda. kwa hesabu zako nani atakimbia kama m23
 
Ndio maana hata mimi nimesema M23 ni Rwanda 100% yaani Watutsi, kuanzia Museveni mpaka Kagame hawa wote Watutsi pamoja kundi la wavuta bangi wao ambao wanajiita M23. Dawa hapa ni kumtoa Kagame madarakani TU.
 
Nadhani waligawana majukumu, South walileta kikosi cha anga, Siis ni ardhini na malawi nadhani ni cha Mizinga.

nadhani wanajeshi wa Malawi watatumia nafasi hii kuji- assess uwezo wao na outcome yake kama watataka twende nao kivita kuhusu mgogoro wa ziwa nyasa kutokana na wanavyoona ubingwa wa jeshi letu (JWTZ) kwenye frontline
 
Binafsi naona hakuna Rais ambaye katulia hapa Afrika Mashariki kama Rais wa Burundi. Jamaa katulia sana na huwa hapendi sifa wala mambo ya ujinga.
 
Binafsi naona hakuna Rais ambaye katulia hapa Afrika Mashariki kama Rais wa Burundi. Jamaa katulia sana na huwa hapendi sifa wala mambo ya ujinga.
Ni kweli mkuu lakini nasikia sababu kuu ni umasikini wa nchi yake na kulemewa na mzigo wa watu bila kuwa na resource yoyote, ana population ya 10 Million na msongamano wa watu ni mkubwa kama wa Dar es salaam.

Lakini pia nasikia ni mlokole kiimani hii inaweza kuwa sababu pia kwa kuwa hawezi kutafuta utajiri kwa misingi ya damu za watu kama wenzie
 
nadhani wanajeshi wa Malawi watatumia nafasi hii kuji- assess uwezo wao na outcome yake kama watataka twende nao kivita kuhusu mgogoro wa ziwa nyasa kutokana na wanavyoona ubingwa wa jeshi letu (JWTZ) kwenye frontline

Kati ya Malawi au Rwanda, kati ya nchi hizo zitakuja kuishi maisha magumu kama wakimbizi endapo mmoja wao akamgusa Mtanzania.
 
Binafsi naona hakuna Rais ambaye katulia hapa Afrika Mashariki kama Rais wa Burundi. Jamaa katulia sana na huwa hapendi sifa wala mambo ya ujinga.

mkuu naona umemkimbiza MUKAMASIMBA, amerudi ofisini kuongeza wasaidizi wakumsaidia kuupindisha huu ukweli uwe uwongo.Asante sana FLASH RIDER
 
Yes, hapo ndipo kwenye ukweli. Jamaa ni Mlokole na ameamua kutulia na Mungu wake, sio kama Kagame na Museveni watoto wa Shetani.
 
hususani huyu kagame, tena huyu tunapiga mpaka tunatokea drc.

hata historia ya miaka ya sabini ilikuwa hivi hivi, alianza mzee banda, kafuata mzee kenyata, ilipofikia kwa amini haikuwa bahati yake, tukamchakaza na hapa naona upepo unaelekea hukohuko
 
mkuu hinder.
unaonaje ghafla jw wakitibuana na Rwanda. kwa hesabu zako nani atakimbia kama m23

m 23 ni Rwanda, na ndiyo maana kagame halali anajaribu kufanya kila linalowezekana ili aendelee kuua na kunyonya utajiri wa DRC
 
hata historia ya miaka ya sabini ilikuwa hivi hivi, alianza mzee banda, kafuata mzee kenyata, ilipofikia kwa amini haikuwa bahati yake, tukamchakaza na hapa naona upepo unaelekea hukohuko
Sorry mkuu kama ntachepusha madhumuni kidogo ya mleta uzi, hivi Kenyatta naye tulishawahi kumvimbishia uso??
 
hata historia ya miaka ya sabini ilikuwa hivi hivi, alianza mzee banda, kafuata mzee kenyata, ilipofikia kwa amini haikuwa bahati yake, tukamchakaza na hapa naona upepo unaelekea hukohuko

Mi ntashika bunduki kaka kwa ajili ya mdudu kagame.
 
hata historia ya miaka ya sabini ilikuwa hivi hivi, alianza mzee banda, kafuata mzee kenyata, ilipofikia kwa amini haikuwa bahati yake, tukamchakaza na hapa naona upepo unaelekea hukohuko
jamani naomba hii mada isiingie ndani ya mipaka ya Rwanda na mambo ya Malawi tuna rise tension isiyo na msingi, na ndio maana wakati ule TPDF na serikali hawakupenda tutoe taarifa ya kinacho endelea huko.
Tujikite zaidi kwenye DRC, M23 na finacers wake in invited Comas"......"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…