chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
SADC wachovu hawawezi kitu,nilicho kisema East afrika hakuta kalika.na tatizo nikwamba watu wengi wanamtazamo kwamba watusi should be eliminated ndio maana na sema hakuta kalika bora watu wakae chini waongee bila hivyo hata amerika ameshindwa kuleta amani irak,Afghanistan na lyibia.
Hamna kitu kama hicho hao wanaojiita watusi ni kikundi kidogo sana cha watu ni rahisi kuwadhibiti huwezi kufananisha na nchi >Iraq, au Libya au Afghanistan vita vyenye mchanganyiko wa watu wengi na makabila mengi
Ukisema SADC ni wachovu unakosea mkuu,Angola nchi ghali kuishi dunia kwa sasa uchumi unakuwa kuliko Ureno na nchi nyingine za ulaya,South Africa ni nchi yenye uchumi mkubwa kwa Afrika nzima, botswana ni hivyo hivyo nchi za SADC huwezi kuzimananisha na nchi za EAC sasa uchovu wao uko wapi,Vita ni pesa bila ya pesa huwezi kushinda vita,sasa Ruanda wana nini labda kahawa na masokwe 🙂