mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
sorry mkuu kama ntachepusha madhumuni kidogo ya mleta uzi, hivi kenyatta naye tulishawahi kumvimbishia uso??
jamani naomba hii mada isiingie ndani ya mipaka ya Rwanda na mambo ya Malawi tuna rise tension isiyo na msingi, na ndio maana wakati ule TPDF na serikali hawakupenda tutoe taarifa ya kinacho endelea huko.
Tujikite zaidi kwenye DRC, M23 na finacers wake in invited Comas"......"
Flash Hider niliuliza swali hapa naona hukulijibu labda yawezekana michango mingi ulipitiwa naomba kuuliza tena...
BBC leo wamesema M23 imekwisha kbsa na kama tunavyosikia Rwanda ina battalion mbili mpakani je tetesi zilizopo huko kuhusu Rwanda kuingia vitani ni zipi ukizingatia wamelalamika kushambuliwa na Congo.. Kuna chochote umesikia kuhusu majeshi ya Rwanda kupambana na FIB..???
mi ntashika bunduki kaka kwa ajili ya mdudu kagame.
angekuwa mdudu wa kawaida ingekuwa afadhali mkuu hana tofauti na yule mdudu mwenye madhara sana kwa afya ya wanadamu! Naogopa ban hapa
wakuu hii ni copy n paste hizi habari nimezitoa kutoka aljazeera habari zanasema m23 wameachia sehemu zote isipokuwa sehemu ndogo iliyokuwepo karibu na ruanda
"practically all m23 positions were abandoned yesterday, except for a small triangle at the rwandan border," martin kobler told the un security council on monday, according to diplomats.
He said that the m23 had abandoned a key position on mount hehu near the rwandan border, reportedly adding: "it is practically the military end of the m23."
"
Sawa maana kuna watu wanataka ku-twist mambo as if ni vita ya Bongo na Rwanda au PK na JK wa sasa na kuchafua heshima ya UN na Bongo. kwa hivyo ukiona mtu ana tutoa kwenye mstari basi turudishane kwenye mstari.asante kwa kutukumbusha ni ulimi tu uliteleza!
Watendaji wa Serikali yetu wangekuwa responsive kama FLASH HIDER, nadhani uzalendo wa watanzania ungekuwa juu sana, unajibu kwa uhakika, kwa wakati, na bila hiyana wala kibri. Aisey! Mlio Serikalini mnashindwa nini kuwa kama huyu jamaa. Badilikeni, msomeni sana FLASH HIDER
SItaki kulaumu mtu ila ukweli tusiwe na misimamo mikali na isiyo ya ukweli.
Yaani mkuu hata migogoro, migomo na maandamano yangepungua. I like the guy. Is so responsive person, tena mzalendo aliyeiva. Kuna raha sana ikiwa watu wanakuwa na uzalendo na nchi yao, kwa waliowahi kukaa mamtoni wanalielewa hili.Naunga mkono kwa 100%, huyu FLASH HIDER ni mfano wa kuigwa kabisa, yaani ametupa faida wengi sana. Yaani anajitahidi kujibu kila swali aliloulizwa tena kwa ufasaha.
Laiti kama viongozi wetu wangekuwa wanafanya hivi tungekuwa mbali.
Sasa kama juzi mbunge Mary Mwanjelwa ameanzisha thread ya kujisafisha hapa lakini hakuna hata swali moja alilojibu.
Ningependa siku moja hata JK ajibu maswali kwa wananchi wake kama alivyofanya FLASH HIDER .
Jamaa yangu hata mm sikukuelewa wakati ulipomshambulia mtoa madanilifikiri ni mamluki wa nduli kagame, pole sana kwa lugha kali niliyoitumia!
Lakini watu wengine mnapenda kuandika ilimuradi umeandika,ungejua yanayo tendeka goma usinge kua unaongea hayo,watu warwanda wanapiga mzigo kama kawaida kama vile hakuna vita kwa jirani yani hata Gisenyi mji ambao uko mpakani watu wanavuka mpaka kilasiku wakienda goma na wagoma wakiingia gisenyi yani maisha niya kawaida.
Mkuu hongera sana kweli Tanzania tuna hazina kubwa ya Wazalendo kama wewe, na umenifurahisha ulipoamua kusema ukweli kuhusu hawa watu waliotawaliwa na Wafaransa wana matatizo sana na hasa WatutsiKaka msiwe na shaka kabisa na uelewa wangu. Sina elimu kubwa, nilimaliza pale mazengo na kusoma masuala ya madini kidogo. Ninafuatilia hali ya dunia inavyoenda nia ni kuhakikisha nakwenda na upepo wa fursa. Hapa GOMA ndege zinatua sana tu. Hata Rwanda Air pia inatua hapa.
wanaonifahamu wanakushangaa
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.
Umeongea Point nzuri sana, Kagame na Museveni wakifa itapendeza sana. Na zoezi hili litapendeza kama SADC wakiingilia kati.