mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
sorry mkuu kama ntachepusha madhumuni kidogo ya mleta uzi, hivi kenyatta naye tulishawahi kumvimbishia uso??
mzee kenyata kwa kufuata historia ya wakoloni alitaka kumega eneo lenye mlima kilimanjaro kuwa sehemu ya kenya mwalimu hakuwa na hiyana naye akaitaka pwani ya kenya ikiwamo bandari ya mombasa virudi tanzania kama historia inavyotaka ! Kenyata kafyata mkia