Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

sorry mkuu kama ntachepusha madhumuni kidogo ya mleta uzi, hivi kenyatta naye tulishawahi kumvimbishia uso??

mzee kenyata kwa kufuata historia ya wakoloni alitaka kumega eneo lenye mlima kilimanjaro kuwa sehemu ya kenya mwalimu hakuwa na hiyana naye akaitaka pwani ya kenya ikiwamo bandari ya mombasa virudi tanzania kama historia inavyotaka ! Kenyata kafyata mkia
 
Ww ni Zaid ya Mr.flasher, nikuulize swali hili, je kama leo M23 wakiondoshwa na pakawa salama wanajeshi wapiganaji,walindaamani, wakiondoka kongo vita havitokua na uwezekano wa kurudi tena?
 
jamani naomba hii mada isiingie ndani ya mipaka ya Rwanda na mambo ya Malawi tuna rise tension isiyo na msingi, na ndio maana wakati ule TPDF na serikali hawakupenda tutoe taarifa ya kinacho endelea huko.
Tujikite zaidi kwenye DRC, M23 na finacers wake in invited Comas"......"

asante kwa kutukumbusha ni ulimi tu uliteleza!
 
Flash Hider niliuliza swali hapa naona hukulijibu labda yawezekana michango mingi ulipitiwa naomba kuuliza tena...
BBC leo wamesema M23 imekwisha kbsa na kama tunavyosikia Rwanda ina battalion mbili mpakani je tetesi zilizopo huko kuhusu Rwanda kuingia vitani ni zipi ukizingatia wamelalamika kushambuliwa na Congo.. Kuna chochote umesikia kuhusu majeshi ya Rwanda kupambana na FIB..???
 
Flash Hider niliuliza swali hapa naona hukulijibu labda yawezekana michango mingi ulipitiwa naomba kuuliza tena...
BBC leo wamesema M23 imekwisha kbsa na kama tunavyosikia Rwanda ina battalion mbili mpakani je tetesi zilizopo huko kuhusu Rwanda kuingia vitani ni zipi ukizingatia wamelalamika kushambuliwa na Congo.. Kuna chochote umesikia kuhusu majeshi ya Rwanda kupambana na FIB..???

Mkuu tusaidie hili kwani ni muda sasa tangu rwanda isogeze jeshi lake mpakani, inawezekana FIB inapigana na rwanda kwa jina M 23?
 
Wakuu hii ni copy n paste hizi habari nimezitoa kutoka Aljazeera habari zanasema M23 wameachia sehemu zote isipokuwa sehemu ndogo iliyokuwepo karibu na Ruanda

"Practically all M23 positions were abandoned yesterday, except for a small triangle at the Rwandan border," Martin Kobler told the UN Security Council on Monday, according to diplomats.


He said that the M23 had abandoned a key position on Mount Hehu near the Rwandan border, reportedly adding: "It is practically the military end of the M23."

"
 
mi ntashika bunduki kaka kwa ajili ya mdudu kagame.

angekuwa mdudu wa kawaida ingekuwa afadhali mkuu hana tofauti na yule mdudu mwenye madhara sana kwa afya ya wanadamu! Naogopa ban hapa
 
wakuu hii ni copy n paste hizi habari nimezitoa kutoka aljazeera habari zanasema m23 wameachia sehemu zote isipokuwa sehemu ndogo iliyokuwepo karibu na ruanda

"practically all m23 positions were abandoned yesterday, except for a small triangle at the rwandan border," martin kobler told the un security council on monday, according to diplomats.


He said that the m23 had abandoned a key position on mount hehu near the rwandan border, reportedly adding: "it is practically the military end of the m23."

"

kama kweli m 23 siyo millitary wing ya jeshi la rwanda wawasaidie fib kuwakamata waliosalia ili wafunguliwe mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu
 
asante kwa kutukumbusha ni ulimi tu uliteleza!
Sawa maana kuna watu wanataka ku-twist mambo as if ni vita ya Bongo na Rwanda au PK na JK wa sasa na kuchafua heshima ya UN na Bongo. kwa hivyo ukiona mtu ana tutoa kwenye mstari basi turudishane kwenye mstari.
 
Watendaji wa Serikali yetu wangekuwa responsive kama FLASH HIDER, nadhani uzalendo wa watanzania ungekuwa juu sana, unajibu kwa uhakika, kwa wakati, na bila hiyana wala kibri. Aisey! Mlio Serikalini mnashindwa nini kuwa kama huyu jamaa. Badilikeni, msomeni sana FLASH HIDER

Naunga mkono kwa 100%, huyu FLASH HIDER ni mfano wa kuigwa kabisa, yaani ametupa faida wengi sana. Yaani anajitahidi kujibu kila swali aliloulizwa tena kwa ufasaha.

Laiti kama viongozi wetu wangekuwa wanafanya hivi tungekuwa mbali.
Sasa kama juzi mbunge Mary Mwanjelwa ameanzisha thread ya kujisafisha hapa lakini hakuna hata swali moja alilojibu.

Ningependa siku moja hata JK ajibu maswali kwa wananchi wake kama alivyofanya FLASH HIDER .
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono kwa 100%, huyu FLASH HIDER ni mfano wa kuigwa kabisa, yaani ametupa faida wengi sana. Yaani anajitahidi kujibu kila swali aliloulizwa tena kwa ufasaha.

Laiti kama viongozi wetu wangekuwa wanafanya hivi tungekuwa mbali.
Sasa kama juzi mbunge Mary Mwanjelwa ameanzisha thread ya kujisafisha hapa lakini hakuna hata swali moja alilojibu.

Ningependa siku moja hata JK ajibu maswali kwa wananchi wake kama alivyofanya FLASH HIDER .
Yaani mkuu hata migogoro, migomo na maandamano yangepungua. I like the guy. Is so responsive person, tena mzalendo aliyeiva. Kuna raha sana ikiwa watu wanakuwa na uzalendo na nchi yao, kwa waliowahi kukaa mamtoni wanalielewa hili.
 
nilifikiri ni mamluki wa nduli kagame, pole sana kwa lugha kali niliyoitumia!
Jamaa yangu hata mm sikukuelewa wakati ulipomshambulia mtoa mada
wewe ungemwalika jamaa yako
Koba na kna murutongore wasikie uhondo kuwa tumebakiza Mji mmoja tu vita na kagame (M23) iishe
 
Last edited by a moderator:
Lakini watu wengine mnapenda kuandika ilimuradi umeandika,ungejua yanayo tendeka goma usinge kua unaongea hayo,watu warwanda wanapiga mzigo kama kawaida kama vile hakuna vita kwa jirani yani hata Gisenyi mji ambao uko mpakani watu wanavuka mpaka kilasiku wakienda goma na wagoma wakiingia gisenyi yani maisha niya kawaida.


Unamwambia nani wakati mie niko Rwanda, vijiwe vyote vimeyeyuka. Washkaji zangu kibao wamesepa. Kumbe ww jamaa haupo Rwanda unajifanya kuongopea watu sio! Kweli Propaganda kitu hatari, na nikipata chance, nitakuwekea clip moja hapa uwasikilze mayanki wanavyochonga. Au ukweli unaujua unafanya kusudi,
 
Kaka msiwe na shaka kabisa na uelewa wangu. Sina elimu kubwa, nilimaliza pale mazengo na kusoma masuala ya madini kidogo. Ninafuatilia hali ya dunia inavyoenda nia ni kuhakikisha nakwenda na upepo wa fursa. Hapa GOMA ndege zinatua sana tu. Hata Rwanda Air pia inatua hapa.
Mkuu hongera sana kweli Tanzania tuna hazina kubwa ya Wazalendo kama wewe, na umenifurahisha ulipoamua kusema ukweli kuhusu hawa watu waliotawaliwa na Wafaransa wana matatizo sana na hasa Watutsi
Na mm nimesoma mazengo na nipo bado hapa kikuyu kweli JF kiboko
 
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.


Rwanda has nothing ni kelele tu. Kabila please anzisha vita na kuua moja kwa moja Rwanda, kamata viongozi wote pamoja na Kagame and butcher them.
 
Umeongea Point nzuri sana, Kagame na Museveni wakifa itapendeza sana. Na zoezi hili litapendeza kama SADC wakiingilia kati.


I'm telling you, hapa solution ni kuua tu hawa perpetrators na si vinginevyo kwani hawa ndio wanaovunja amani DRC.
 
Back
Top Bottom